Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Au ndo kama utetezi wa Babu Seya kwamba jogoo hapandi mtungi halafu unatoka na kuoa.
Sawa mkuu."Key point ustaarabu sio pesa."... True
"Jitahidi usiwe myopic"..... cheki post niliyokuwa na jibu halafu utaelewa.
K-lyn anaweza kupotezwa hapa kama walifanya hivyo kwa kuweka pingamizi huko nyumaInasemekana waliwahi enda Mahakamani kuweka pingamizi la Mzee kutoweka sahihi kwenye lolote
Hiyo ni sheria.Kwani wewe huna uwezo wa kumpa mtu mwingine mali yako pasipo maoni ya watoto wako?Umetumia sheria au hisia?
Kesi ipo mahakama kuu na jaji ni mkwe wa faza hausi.Machame kutakalika kweli?
Lile zoezi la 'bora tukose wote' linaweza tekelezeka mbele ya safari
Mjane huyu anaponzwa na washauri wabovu
Watoto wakubwa kafungueni hii kesi Moshi hapo Kisutu kuna kidudu mtu bashite atawavuruga
Kasome Sheria ya wosia mkuu na vitu vinavyoweza kukufanya uondoe warithi kwenye wosia,yaani wosia ukiwa unfair Mahakama inautenguaHiyo ni sheria.Kwani wewe huna uwezo wa kumpa mtu mwingine mali yako pasipo maoni ya watoto wako?
Yulee dada ni mafia sio wakuonea huruma maana Yeye hana chembe yoyote ya huruma.
Mkuu kuna watu wanaandika kwa mujibu wa hisia zao, lakini kisheria k lyn ana wakati mgumu kushinda kesi, kwa mfano kwa mujibu wa sheria haiwezekani mzazi awanyime watoto wake urithi labda kwa sababu kadhaa mojawapo ikiwa ni labda kama kuna mtoto wa kiume alizini na mke wa marehem, nk. sasa hapa regina na abdiel wamenyimwa urithi!!Kasome Sheria ya wosia mkuu na vitu vinavyoweza kukufanya uondoe warithi kwenye wosia,yaani wosia ukiwa unfair Mahakama inautengua
Hii inadhihirisha kuwa kifo cha Dr Mengi kilikuwa siyo cha kawaida, kuna mkono WA MTU.
Hii hoja waondoe haraka kama hawataki kupigwa goli 8:0 kama mechi ya leo kati ya manchester City na wattford respectively.Vipimo ya kutambua alikuwaamechanganyikiwa vimewasilishwa mahakamani?