JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kiukweli wangemuacha apige mpunga nchi hii ujinga umepita kiwangoWatu wana wivu... Mama wa watu kaamua kujipigia pesa za wajinga watumishi uchwara wakaona nongwa na kmufungulia kesi
Tatizo kavuka mipaka ya kula hadi tozo za Sirikali (H/Nyamagana).Yani halmashauri haikusanyi pato ila mama anaupiga mwingi hapo Mkolani makao yake makuu. Tozo ya Waziri mwenye dhamana unaila mbele ya wafuasi wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wana wivu... Mama wa watu kaamua kujipigia pesa za wajinga watumishi uchwara wakaona nongwa na kmufungulia kesi
Lete kapicha kidogo.Mbona mfalme ameanza kung'aa tena nani huko jela karuhusu Mkorogo uingie jela au katoa posho hapo getini.
Tumeimiss ile rangi yake ya asili (weusi tii)
Wanaumia kummiss mama yao labda.Atatoka wawe na subiriaDaaah ujinga wa mzazi wanaumia watoto, sitaki kusema mungu mke zumaridi hana kosa ila watoto wanatesek sanaa, umri walionao ndio mbovu wanaweza jikuta wako kwenye mambo machafu zaidi
mungu ajaishiwa pesa,Apewe kifungo cha nje aachiwe akalee watoto wake hapo wanamweleza mama yao kuwa ada imekwama na hawajaenda skuli.Huyo ni mjasiriamali kama wengine amechangamkia fursa