Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Watu wana wivu... Mama wa watu kaamua kujipigia pesa za wajinga watumishi uchwara wakaona nongwa na kmufungulia kesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wana wivu... Mama wa watu kaamua kujipigia pesa za wajinga watumishi uchwara wakaona nongwa na kmufungulia kesi
yeah, mi siwakubali sn hawa watu but atendewe tu fair km mtu mwngine yeyote na sio zitumike sana hisia kumkomesha ili kusend messageHuyu zumarid hana mtandao na walamba asali yule aliyeua moshi sababu ya mtandao na walamba asali naona mambo safi kabisa huku wake wa walamba asali ndio wateja wake
Amezipata na kuahidi kumfufua pindi atakapotoka jelaMfalme Zumaridi ana taarifa za kifo cha Malkia?
Huyo wa kike inaonekana bado mbichi kilometa chache sana zimetembea, akitoka nitaenda kusali kwake kwa muda nivizie bintiye hapa kwa Malisa Nyasaka pisi kali hakuna
Watoto wa mfalme Zumaridi hii leo Septemba 9, 2022, wamefika Mahakamani kufuatilia kesi ya mama yao.
Zumaridi na wafuasi wake nane wanakabiliwa na kesi ya kujeruhiwa askari polisi na kuwazuia kutekeleza majukumu yao na inaendelea na ushahidi.
Source: EATV
Pia soma:
Mfalme Zumaridi aonesha kutokuwa na imani na Hakimu anayeendesha shauri lake
Shahidi kesi ya ‘Mfalme Zumaridi’ augua mahakamani, kesi yapigwa kalenda
Wote mungu wao ni mmojaAmezipata na kuahidi kumfufua pindi atakapotoka jela
Itakuwa macho yangu yana makengeza sioni kama wengine,u pisi kali wake sijauonaIla mfalme ni pisi kali.watu wanafaidi sana
Hapo ujue yupo lupango miezi kadhaa.google picha zake akiwa duniani enzi zakeItakuwa macho yangu yana makengeza sioni kama wengine,u pisi kali wake sijauona
Si ndio tumeona Kwanza?Tatizo kavuka mipaka ya kula hadi tozo za Sirikali (H/Nyamagana).Yani halmashauri haikusanyi pato ila mama anaupiga mwingi hapo Mkolani makao yake makuu. Tozo ya Waziri mwenye dhamana unaila mbele ya wafuasi wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona wapi Mfalme anakuwa mwanamke? Nauliza tu!!
ZERO STOP