Watoto 3 wa mgombea ubunge huko Eldoret Kenya ambao walikuwa wamepotea wamekutwa wameuawa na maiti zao kutupwa kwenye mto Nzoia. Watoto hao walipotea toka jumamosi iliyopita wakati wakitoka kanisani (Eldovil SDA Church).
View attachment 511486
Mgombea huyo ambaye watoto wake wameuawa anaitwa jina James Ratemo wa Jubilee.
Na mgombea Udiwani huko Machakos Thomas Minito amekutwa ameuawa na maiti take kutupwa Athi River huko machakos.
Unafahamu maana ya triplet au unandikaandika tu maneno ya kiingereza yakikujia kichwani.. Triplet ni mapacha watatu.. Sasa, hao mapacha? Mivyeti feki hiyo .. Mxxxxjamani sio fair hao matriplet wapumzike kwa amani.
Hii ndio so called demokrasia ya Afrika.
Dereva wa roliTujiandae kwa usuruhishi. Na ss hivi sijui kama nani atasuluhisha.
kwenda hukoUnafahamu maana ya triplet au unandikaandika tu maneno ya kiingereza yakikujia kichwani.. Triplet ni mapacha watatu.. Sasa, hao mapacha? Mivyeti feki hiyo .. Mxxxx
Hazitofautiani sana na hizi za pande hii. Wanasiasa ni watu wabaya sana! RIP watoto !Duh! Huu ni ukatili na unyama mkubwa sana. Watoto hao wamemkosea nini huyo aliyeamua kuchukua uhai wao?
Hazitofautiani sana na hizi za pande hii. Wanasiasa ni watu wabaya sana! RIP watoto !
Huo ulikuwa sio uchaguzi mkuu ulikuwa uchaguzi ndani ya chama cha Jubilee kupata mgombea wa kwenda kupambana na mgombea wa chama cha NASA. Je maoni yako mambo yatakuwaje uchaguzi mkuu August 2017Duh! Huu ni ukatili na unyama mkubwa sana. Watoto hao wamemkosea nini huyo aliyeamua kuchukua uhai wao?
Mi nashangaa ninapowaona wabunge wa bongo wanasema eti nchi yetu haina demokrasia! Watu watukana viongozi mpaka mishipa ya shingo inawatoka na hakuna unyama kama huu, so sad.Kweli Inasikitisha sana
lakini kwa kipindi jama hiki
kenya haya mambo niyakawaida kutokea
Hili si Geni
japo huu ni unyama ulio pitiliza
watoto wadogo sana hao!!
Wako na ukabila mkubwa sana Kenya.ndugu zetu WAKENYA acheni siasa za chuki!!! mtakwisha wote!!! hebu kuweni na ubinaadamu angalau kidogo!!!
fanyeni siasa za kistaarabu kwa masĺahi ya nchi yenyu.
Huo ulikuwa sio uchaguzi mkuu ulikuwa uchaguzi ndani ya chama cha Jubilee kupata mgombea wa kwenda kupambana na mgombea wa chama cha NASA. Je maoni yako mambo yatakuwaje uchaguzi mkuu August 2017