BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Duh! Huu ni ukatili na unyama mkubwa sana. Watoto hao wamemkosea nini huyo aliyeamua kuchukua uhai wao?
Watoto 3 wa mgombea ubunge huko Eldoret Kenya ambao walikuwa wamepotea wamekutwa wameuawa na maiti zao kutupwa kwenye mto Nzoia. Watoto hao walipotea toka jumamosi iliyopita wakati wakitoka kanisani (Eldovil SDA Church).
View attachment 511486
Mgombea huyo ambaye watoto wake wameuawa anaitwa jina James Ratemo wa Jubilee.
Na mgombea Udiwani huko Machakos Thomas Minito amekutwa ameuawa na maiti take kutupwa Athi River huko machakos.