Watoto wa mgombea Ubunge Eldoret-Kenya watekwa na kuuawa Kenya

Watoto wa mgombea Ubunge Eldoret-Kenya watekwa na kuuawa Kenya

Wakikuyu na wakalenji si wapo pamoja,why mauwaji tena?
 
Back to the dark ages again,
Kujeni mfundishwe na Ccm namna ya kufunga goli la mkono bila ya kumwaga damu .
Kenyans please grow up!!
 
hatuchekani..hata huku bongo mbona alibino walikufa sana. Mungu turehemu
 
AMINI NAWAAMBIENI KIONGOZI WA AFRIKA KUINGIA KATIKA UFALME WA MUNGU N RAHISI KWAKE TEMBO KUINGIA KWENYE TUNDU LA SINDANO SIO YEYE,yan viongoz wanahisi madaraka ndio PEPO YA DUNIA so sad,hawajui walitendalo
 
Sisi huwa tunajisuluhisha wenyewe...! Hukumbuki, alikuja Koffi Annan ati anasuluhusha huko Zanzibar, alichemsha. Baadaye sisi tukakaa kama wanafamilia wa Tanzania tukayamaliza. Sisi ni Taifa teule!
Kama hujui, hilo aliloandika jamaa ni dongo...!!! Anaamini kwmb ingekuwa ni kipindi cha awamu ya 4 wangeweza hta kumuomba JK awasuluhishe.

Sasa tatizo lililopo katika awamu hii ni kwamba mkuu wa kaya hawezi kuwa msuluhishi wa hata wewe ukigombana na mke wako, ndo ataweza kusuluhisha mambo ya nchi nyngn..??

Yy mwenyewe anahitaji kuletewa msuluhishi ili kusuluhishwa bifu lililopo kimyakimya na asilimia kubwa wananchi wake. Nimeandika asilimia kubwa, sio wote so don't quote me wrong.
 
AMINI NAWAAMBIENI KIONGOZI WA AFRIKA KUINGIA KATIKA UFALME WA MUNGU N RAHISI KWAKE TEMBO KUINGIA KWENYE TUNDU LA SINDANO SIO YEYE,yan viongoz wanahisi madaraka ndio PEPO YA DUNIA so sad,hawajui walitendalo


Kiongozi wa wapi ataingia Ufalme wa Mungu? Wa Kizungu au?
 
Poor little kids...ndo maana mm nasemaga mwanaume politician apite mbali kabsa na mm.. Yani hata awe na hela kiasi gan awez nioa ona watoto walvyokufa kisa siasa za baba...!
 
Unafahamu maana ya triplet au unandikaandika tu maneno ya kiingereza yakikujia kichwani.. Triplet ni mapacha watatu.. Sasa, hao mapacha? Mivyeti feki hiyo .. Mxxxx
Na wewe unajua maana ya pacha? Pacha maana yake ni vitu viwili.
 
Back
Top Bottom