Watoto wa Mjini Dar

Watoto wa Mjini Dar

FARIDA fashions yuko LONDON,she refuses to grow old,bado tunagongana naye kwenye ma night club.
 
- Eeeh bwana Abasi alipata ajali pale kwenye mbuyu, Mbwana alijipiga risasi mwenyewe,

- Abasi nilikula naye primary, kaka yake mmoja alikua baharia, lakini familia nzima mpaka old wao walikuwa riziki riziki noma kichizi, nakumbuka sometimes old ilikuwa inabidi aje shule kwenye mkutano na waalimu, duh mwendo wake tu ilikuwa noma sana, yaani haste haste hivi!

Wakulu wa Chang'ombe na Temeke Wailes, vipi King Sabata yupo au alisharudisha namba?

huyu mbabe king sabata aliwahi kutolewa mkuku mitaa ya osterbay baada ya
kutaka kumfanyizia mwana wa kiume wa soldier mmoja baada ya mechi ya mpira uwanja wa osterbay shule ya msingi. sabata aliongoza kikundi cha wababe na kumfuatilia kijana mpaka kwao kijana akaingia ndani na kutoka na gun.
 
GT huyo Bwn Slim namfahamu sana,unajua nilimchanganya na mtu mwingine ninae mfahamu.
Ndg.Slim alikuja miaka ya mwanzoni mwa 2000 kwa kasi sana akachukua totoz nyingi na nadhani mbongo wa mwanzoni kuleta cloth line yake (ilikua inaitwa hivyo hivyo SLIMIISLIM) mashati yalikua bomba sana by the way i still keep two of them in my closet.Lakini alikua anauza ghali sana,baadae biashara ikamshinda akarudi huko juu akarudi tena na issue za music(akawatoa wakina AY na GK kama unakumbuka) bila ya kusahau totoz MBIKI Msumi akawa kwenye line(akapewa Miss Dar City Centre)
Zote zikamshinda ,akarudi kwao Bagamoyo akawa Mfadhili wa cahama cha siasa cha CUF

pamoja na hayo mi nakumbuka mashati yalikuwa yanaitwa "slim" ambayo yalikuwa yanatokea uganda kama sikosei na yaliitwa hivyo kutokana na uganda watu walikuwa wanaondoka kwa ugonjwa mpya uliojulikana kama "slim" ambao baadae ukaitwa ukimwi.
 
oops

Mshaanza kuharibu thread

hii ni thread ya sehemu za maakuli sasa haya mambo yenu ya na Ikarus hayahusiani after all akina ES walishaiongelea sana tuu

that said

hii mnajua kama Pilau tamu kuliko yote linauzwa pale oteli ya BUTIAMA pale magomeni?

basi unachukua ndizi zako kwa jamaa pale mlangoni kisha waingia ndani kuagizia mindi weee


kama ndio ukitaka WALI MCHUZI basi pale juu kuna sinia zimejaa samaki walokaushwa basi oooooh

Ukitoka pale huyooooo unaingia kwa bitebo kushevu huku wapiga soga na kama juma mosi basi si haba kwenda kwa babu mtama mchungu kupiga simu za nje maana kule muhimbili noma

now top that

au gt hukutaka wengine wachangie tuu lol
 
Kati yenu nani alienda kwenye lile disko la pale SALENDA BRIJI lilikuwa linaitwa SINSEI?
 
kuna mbabe mmoja alisoma tambaza alikuwa anaitwa peter lee nadhani alikuwa anaishi ilala (miaka ya 75-76). jamaa alikuwa ndio mtaalamu wa kutumia milosis kwenye mpambano.
 
DUH..MMENIKUMBUSHA MBALI SANA WANA JF

MWARABU MUDI MASI aka KINYWA PASIPO FUNIKO..
BRAZA KHERY...
CHARLES WA CHANG'OMBE..

KUNA MTU ANAJUA MWAKIKINGI ALIPO? HAMZA MGOMBAWATU?
 
MWAZANGE,mabaharia wa temeke walikuwa wanatembea na mguu mpaka ugiriki,kufika majaliwa,maana njiani unakutana na john garang.mabaharia wa migomigo walikuwa wanastow away,wengi wametupwa baharini.mabaharia wa upanga walikuwa wanapanda ndege kuzifuata meli hukohuko umangani
Walikuwa mabaharia wenyewe ukiwauliza wototo wa taifa kubwa ni nani? watuambia wototo wa Temeke, sasa sijui walifika vipi? nimesoma naona wengi ni story za kupewa hakuna mwenye fani! kwani ni ujanaja kuwajua wazee wa shamba? kama ndiyo kweli mbona hamuendi. Kumbuka banadari yenyewe ipo temeke.
 
jamani,nani anamkumbuka mwalimu KHAN,aliwahi fundisha tambaza,hii teacher ilikuwa sio ridhiki,inakamatia waziwazi,nakumbuka kama ilikuwa na pikipiki
 
Game Theory,
Haya mkuu wangu lete habari za mjini....
K - tea shop ndio maskani kuna mpya gani tena!
 
Kati yenu nani alienda kwenye lile disko la pale SALENDA BRIJI lilikuwa linaitwa SINSEI?

Mkuu, unayejiita mtoto wa mjini, mbona unajiumbua? Hakuna kitu kama SINSEI. Karibu na daraja la salenda palikuwa na Italian Club. Mbele kidogo palikuwa na San Sui. San Sui ilikuwa kwenye hoteli ya Sea View ambayo siku hizi imebadilishwa kuwa Courtyard Hotel. Hata sisi wakuja tulikuwa tunajimwaga humo. Commodores ( Easy n.k.), Santana, Millie Jackson, Brass Construction n.k. mtindo mmoja. Hamna bolingo wakati ule.
 
Duh

Machizi mnaniacha hoi ile kinoma

hivi kuna mtu anamkumbuka yule demu alikuwa anaitwa SHUSHU dingi yao ndiye alikuwa ana own LANGATA SOCIAL CLUB

Shushu HAKUWA na dingi aliyekuwa ana own Lang'ata social club. Hiyo club kabla haijauzwa ilikuwa inamilikiwa na majirani zao na akina Shushu (nyumba opposite kabla hawajahamia Kinondoni na kuuza ile ghorofa yao). Mmiliki/mwasisi alisha aga dunia miaka mingi iliyopita, R.I.P.

Shushu alikuwa na kaka yake mmoja mtundu sana, jina Zidadi... alikuwa ana penda kuendesha pikipiki kwa sana n alikuwa anatumia muda mrefu pale kwa akina "Bubu", ukipita kwenye corridor mojakwa moja kwenye ile nyumba ya mgongo wa tembo unakutana na servants quarter ambayo akina Malima na mdogo wake Msafiri na jamaa wengine ndimo walikuwa wanapoa...na Costa alikuwa anakuja kusalim jamaa zake pale.


Btw, Firimini yuko wapi siku hizi?

My two cents for the thread and am out.
 
Back
Top Bottom