Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
- Thread starter
- #261
WAKUBWA,mnawakumbuka akina PAILONGA,jamaa limedunda sana pale holiday inn.kuna jamaa lingine SPEAR,hii mijamaa yote ya kuja lakini ilitesa kiaina.Nani kasema jogoo wa shamba hawiki mjini?
Pailonga yuko pale kwa ma HAMMERS , UPTON PARK ana maduka mawili ya nguo na si haba. Sometimes na mimi huwa nampitia pale kuchukua viwalo kwa ajili ya jamaa bongo si unajua tena kama hatujamsupport mbongo mwenzetu sijui tutamsupport nani
Huyu jamaa naye ni katika ma HUSTLERS wachache ambao nawaheshimu sana. Halafu basi ukimuibukia ijumaa pale lazima mwende mpale Biriani chimbo fulani hivi....yaaani jamaa sasa hivi alitakiwa awe mwinyi tuuu na hana noma ukiishiwa wee mtumie text tuu atakuambia wee njooo utapata £1000 au £2000 sema ndio hivyotena credit crunch hali ngumu lakini mshkaji tupo na anaendela kudunda kama kawaida
Huyu naye ni kati ya jamaa wa countryside abao sisi watu wa mjini hatuoni taabu kuwapa mabinti wa kwetu huku pwani waoe kwa saabu ameweza kuadapt nasi vidhuri tuuu