Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
Wote Dar mlioko ni Walowezi tu!!!! Wenye Dar asili hapa JF hawapo. Kwa kuwa baba yako au mama yako au uncle aliawhi kuja dar kufanya kazi, biashara, kusoma au ukuli kule bandarini na ukapata bahati ya kuzaliwa hapa Dar halafu unajidai kujiita eti mtoto wa mjini Dar???. Sheet. Huo utoto wenu wa mjini umesaidia nini taifa la Tanzania?? Kwa kujua kwako vijiwe vya chai, chapati na pilao ni kitu tumbo tuu. Leteni issue muhimu hapa. Hatuna njaa hapa. No any entertainment here, I rather call it ni kutaka kuwatukana wengine hapa. Sisi sote ni watanzania na heshima aliyojengeka iheshimiwe. We do not need classes/strata here. Kama unataka strata nenda India na kwingineko. Mods sorry sijawahi kuchangia kwa hasira kiasi hiki. Huwa nina busara, nimejaribu kupitia thread yote post ya kwanza hadi ya mwisho, sijafurahia hizi post za the so called watoto wa dar. So what!!!!!!??? Pongezi kwa wale wote waliochangia kupinga hoja hii ya Watoto wa njini Dar, to hell with it.
KAZI IPO!!!!!!! rijamaa rina hasira kwerikweri