Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 47
FARIDA fashions yuko LONDON,she refuses to grow old,bado tunagongana naye kwenye ma night club.
Dudu Magic aliishia wapi?
Usichafue bandiko... Pemba ndio wapi?Huyu wa wapi, Pemba?
- Eeeh bwana Abasi alipata ajali pale kwenye mbuyu, Mbwana alijipiga risasi mwenyewe,
- Abasi nilikula naye primary, kaka yake mmoja alikua baharia, lakini familia nzima mpaka old wao walikuwa riziki riziki noma kichizi, nakumbuka sometimes old ilikuwa inabidi aje shule kwenye mkutano na waalimu, duh mwendo wake tu ilikuwa noma sana, yaani haste haste hivi!
Wakulu wa Chang'ombe na Temeke Wailes, vipi King Sabata yupo au alisharudisha namba?
GT huyo Bwn Slim namfahamu sana,unajua nilimchanganya na mtu mwingine ninae mfahamu.
Ndg.Slim alikuja miaka ya mwanzoni mwa 2000 kwa kasi sana akachukua totoz nyingi na nadhani mbongo wa mwanzoni kuleta cloth line yake (ilikua inaitwa hivyo hivyo SLIMIISLIM) mashati yalikua bomba sana by the way i still keep two of them in my closet.Lakini alikua anauza ghali sana,baadae biashara ikamshinda akarudi huko juu akarudi tena na issue za music(akawatoa wakina AY na GK kama unakumbuka) bila ya kusahau totoz MBIKI Msumi akawa kwenye line(akapewa Miss Dar City Centre)
Zote zikamshinda ,akarudi kwao Bagamoyo akawa Mfadhili wa cahama cha siasa cha CUF
Mshaanza kuharibu thread
hii ni thread ya sehemu za maakuli sasa haya mambo yenu ya na Ikarus hayahusiani after all akina ES walishaiongelea sana tuu
that said
hii mnajua kama Pilau tamu kuliko yote linauzwa pale oteli ya BUTIAMA pale magomeni?
basi unachukua ndizi zako kwa jamaa pale mlangoni kisha waingia ndani kuagizia mindi weee
kama ndio ukitaka WALI MCHUZI basi pale juu kuna sinia zimejaa samaki walokaushwa basi oooooh
Ukitoka pale huyooooo unaingia kwa bitebo kushevu huku wapiga soga na kama juma mosi basi si haba kwenda kwa babu mtama mchungu kupiga simu za nje maana kule muhimbili noma
now top that
Kati yenu nani alienda kwenye lile disko la pale SALENDA BRIJI lilikuwa linaitwa SINSEI?
Walikuwa mabaharia wenyewe ukiwauliza wototo wa taifa kubwa ni nani? watuambia wototo wa Temeke, sasa sijui walifika vipi? nimesoma naona wengi ni story za kupewa hakuna mwenye fani! kwani ni ujanaja kuwajua wazee wa shamba? kama ndiyo kweli mbona hamuendi. Kumbuka banadari yenyewe ipo temeke.MWAZANGE,mabaharia wa temeke walikuwa wanatembea na mguu mpaka ugiriki,kufika majaliwa,maana njiani unakutana na john garang.mabaharia wa migomigo walikuwa wanastow away,wengi wametupwa baharini.mabaharia wa upanga walikuwa wanapanda ndege kuzifuata meli hukohuko umangani
Kati yenu nani alienda kwenye lile disko la pale SALENDA BRIJI lilikuwa linaitwa SINSEI?
Duh
Machizi mnaniacha hoi ile kinoma
hivi kuna mtu anamkumbuka yule demu alikuwa anaitwa SHUSHU dingi yao ndiye alikuwa ana own LANGATA SOCIAL CLUB