Watoto wa Mjini Dar

Fundi Mchundo inaonekana mwenyeji sana mitaa ya Upanga mashariki, sea view na vitongoji hivyo, ile Etiennes mbele ya Seaview iliishia wapi? palikuwa panachomwa kuku safi sana pale.

Salender Bridge Club baada ya Disco Sansui, nadhani walifuatia Disco Biribi la Joseph Kusaga, au Jetset Dj Ratchie Cutty (Raph Chambo)

Sehemu nyingine za kujiburudisha katikati ya wiki ilikuwa Railways Club Gerezani, mwisho wa wiki Gymkhana Club, enzi hizo Movie za James Bond ndio zinatamba, au nyama choma na utumbo BOT club, Jumapili mchana kule mtoni.
Mind you, sehemu nyingi zilikuwa Members Only 🙁
 
Hii thread nimeifurahia. ...ila niulize tu; hawa wakuu waliokuwa wanaongoza huu mjadala bado wako hai ukiachana na NN ambae huwa namuona mara kwa mara?? Manake 2008 hadi 2014 ni parefu.
 
Hii thread nimeifurahia. ...ila niulize tu; hawa wakuu waliokuwa wanaongoza huu mjadala bado wako hai ukiachana na NN ambae huwa namuona mara kwa mara?? Manake 2008 hadi 2014 ni parefu.
wapo, sana tu sema wanatumia new ID kama ambavyo NasDaz aliamua kutumia new ID kwa sababu fulani fulani!
 
Basi tumekubali

hivi unajua SAIDI MOLEL yuko wapi?

Hivi ni kweli Ray alikamatwa Umangani?

halafu unakumbuka kile kijiwe cha lile block la kule kama unaelekea kwa WANYALUKOLO? kijiwe kile kilikuwa cha machizi wanaotaka kwenda SAUZI tuuuu

Hahahahahaha aisee nmekumbuka mbali sana
 
wapo, sana tu sema wanatumia new ID kama ambavyo NasDaz aliamua kutumia new ID kwa sababu fulani fulani!
Ulikuwa unatumia jina gani mwanzoni? Na ww ni mmoja wa wanamjadala huu? Endeleeni basi
 
Hao jamaa wapo sana tembelea kule siasa utawakuta though wengine walichange IDs zao.

Hii thread nimeifurahia. ...ila niulize tu; hawa wakuu waliokuwa wanaongoza huu mjadala bado wako hai ukiachana na NN ambae huwa namuona mara kwa mara?? Manake 2008 hadi 2014 ni parefu.
 
Unajua Ray kafungwa South Africa? Nilikuwa nakuja sana ghorofa la posta kucheza mpira pale! Dah unanikumbusha machizi wangu wengi sana kweli maisha safari ndefu.
 
Hao jamaa wapo sana tembelea kule siasa utawakuta though wengine walichange IDs zao.

Basi waje upande huu washushe nondo. Hivi Jah Kimbute ni wa tanga? Kuna mzee wa tanga wa long time kweli niliskia watoto wake ni marasta alafu yuko mwanamziki..
 
Hapana, hajafungwa kokote. Yupo Tanzania na ni mfanyakazi muhimu sana kwenye kitengo chake.

Alimaliza SUA na sasa kaajiriwa Serikalini. Kwa harakaharaka ni kuwa sidhani hata kama alishawahi kusafiri nje ya nchi ya Tanzania, sana sana kama ni kusema tunaishi Tanganyika, basi alishasafiri kwenda Zanzibar.

Huyo atakuwa Ray mwingine.
Unajua Ray kafungwa South Africa? Nilikuwa nakuja sana ghorofa la posta kucheza mpira pale! Dah unanikumbusha machizi wangu wengi sana kweli maisha safari ndefu.
 
Fundi unapajua Mission Quarters mwanangu, wewe hata mchuzi kwa chapati wa SAIGON haukufai maana unaenda wayy baaack. Mambo ya Uhuru Mchanganyiko kabla ya Benjamin Mkapa na ukuta ule.

Nani kashaenda mechi ya Bomu FC? Au tizi la Super Star?

Karakata Fc kiboko ya Bomu Fc,unakumbuka?
 
Inawezekana Mimi namzungumzia Raymond matoke sijui Kama unamfahau? Vp Deo kanyau unamfahamu? Amefariki kitambo kidogo.
 
Alikuwa anakajibu kale katoto, yeye anajiona mtoto wa mjini kumbe kuna wazee wa mjini.
 
yupo holland huko ana mke na watoto, kajilipua anasubiri makaratasi….
 
huko uk huko naye, juzijuzi alipokwenda kikwete alikuwa anapigapiga ngoma kumkaribisha naona gitaa kaacha kupiga mcheki youtube utamuona
 
Dahh, nafikiri utakuwa unaongelea vijana sana hawa. Anyway, kuna kundi la Facebook linaitwa Ilala Flats.....
Inawezekana Mimi namzungumzia Raymond matoke sijui Kama unamfahau? Vp Deo kanyau unamfahamu? Amefariki kitambo kidogo.
 
Bwana na wewe mbona unarusha stim tu hapa,watu tunawasikiliza watoto wa mjini na story zao ww unabwabwaja tu kama Ms.e.nge mzee kama vipi pita kimya bwana kwani kila kitu lazima ucomment…..
 
Hugo Ali wa Scout alinilia pesa mimi. Nakumbuka ilikuwa laki 6 na visa sikupata wengine wote waliishia DMV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…