Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Message ya kwanza nilisaha ku quote.
Nina collection ya hawa wanamuziki. Nifanyeje ili niweze kuweka muziki wao hapa?
Unae Brass Construction? Brothers Johnson? Fanya hima basi utuwekee tuliocheza disco San Sui, Italian Club na Pango Disco!
Pundit yuko right. Mtoto wa mjini hajisifii. Utamjua tu.Ssisi wote wa kuja!
Halafu mtoto wa mjini atakuwa ni yupi, yule aliyechezea Stockholm Boys au timu za magomeni Mapipa? Yule aliyeishi Kichangachui au Mission Quarter?[/SIZE][/FONT]
Fundi unapajua Mission Quarters mwanangu, wewe hata mchuzi kwa chapati wa SAIGON haukufai maana unaenda wayy baaack. Mambo ya Uhuru Mchanganyiko kabla ya Benjamin Mkapa na ukuta ule.
Nani kashaenda mechi ya Bomu FC? Au tizi la Super Star?
Pundit,
Wakati ukiingia kwenye Mnuso na Album ya Osibisa kwenye kwapa, umevaa kigozi na juu umeweka mzula (O.k. Mzula walivaa watoto wa misheni kota) hauulizwi na mtu. Tofauti na wakati wenu, wenye akili wote( na wanaojua kucheza mpira) walienda kwenye shule za serikali na huko ndiko tulikokutana bila kujali nani katoka wapi. Wenzetu mna intaneshinol akademi kuanzia chekechea, mtakutana wapi?
Hao niliowataja ndiyo wazee wa Funk kabla ya huu upuuzi wenu wa sampling! Reggae ilikuwa roots n.k. n.k. Bar keys walikuwa wanapiga kwenye mashule! Wajanja walikuwa wanamsoma James Hardley Chase.
Lakini afadhali ya wewe. Kuhani hajui nini kilikuwepo kabla ya Mp-3!!!!
O.k. Basi. Inatosha.
Refa anachezesha na jambia kiunoni,alafu nje kuna lundo kama la lori moja la mawe na mayai viza.Wewe nini mambo yote yalikuwa Abajalo FC na Wica Sports Club....
Unaambiwa katika kila mechi ya Abajalo lazima kuwe na vagi....
Umewahi kwenda uwanja wa magunia kuangalia mechi wewe...?
........Watoto wa mjini wenyewe hawasemi kwamba wao ni watoto wa mjini, wanasemwa hivyo.........
Unamjua Deo Composer wewe? Steve Panki?
Gee! Do we really need this type of thread here!? 😕
Kwanini tundelee kubaguana badala ya kujuimuika hapa kama Watanzania na kujadili mada mbali mbali za nchi yetu na dunia nzima!? Udini, sasa utoto wa mjini na wasio watoto wa mjini si ajabu na ya ukabila itatundikwa muda si mrefu. Hatuyataki haya ya kubaguana!!!
Wewe nini mambo yote yalikuwa Abajalo FC na Wica Sports Club....
Unaambiwa katika kila mechi ya Abajalo lazima kuwe na vagi....
Umewahi kwenda uwanja wa magunia kuangalia mechi wewe...?
Pundit,
Wakati ukiingia kwenye Mnuso na Album ya Osibisa kwenye kwapa, umevaa kigozi na juu umeweka mzula (O.k. Mzula walivaa watoto wa misheni kota) hauulizwi na mtu. Tofauti na wakati wenu, wenye akili wote( na wanaojua kucheza mpira) walienda kwenye shule za serikali na huko ndiko tulikokutana bila kujali nani katoka wapi. Wenzetu mna intaneshinol akademi kuanzia chekechea, mtakutana wapi?
Hao niliowataja ndiyo wazee wa Funk kabla ya huu upuuzi wenu wa sampling! Reggae ilikuwa roots n.k. n.k. Bar keys walikuwa wanapiga kwenye mashule! Wajanja walikuwa wanamsoma James Hardley Chase.
Lakini afadhali ya wewe. Kuhani hajui nini kilikuwepo kabla ya Mp-3!!!!
O.k. Basi. Inatosha.
Unanikumbusha mbali mkuu. Inabidi utafsiri maana ya kigozi na mzula maana nadhani wengi wa vijana hapa na 'watoto wa mjini' labda hawajasikia maneno hayo.