Watoto wa Mjini Dar

Watoto wa Mjini Dar

Message ya kwanza nilisaha ku quote.

Nina collection ya hawa wanamuziki. Nifanyeje ili niweze kuweka muziki wao hapa?

Unae Brass Construction? Brothers Johnson? Fanya hima basi utuwekee tuliocheza disco San Sui, Italian Club na Pango Disco!

Pundit yuko right. Mtoto wa mjini hajisifii. Utamjua tu.Ssisi wote wa kuja!

Halafu mtoto wa mjini atakuwa ni yupi, yule aliyechezea Stockholm Boys au timu za magomeni Mapipa? Yule aliyeishi Kichangachui au Mission Quarter?
 
Unae Brass Construction? Brothers Johnson? Fanya hima basi utuwekee tuliocheza disco San Sui, Italian Club na Pango Disco!

Pundit yuko right. Mtoto wa mjini hajisifii. Utamjua tu.Ssisi wote wa kuja!

Halafu mtoto wa mjini atakuwa ni yupi, yule aliyechezea Stockholm Boys au timu za magomeni Mapipa? Yule aliyeishi Kichangachui au Mission Quarter?[/SIZE][/FONT]

Fundi unapajua Mission Quarters mwanangu, wewe hata mchuzi kwa chapati wa SAIGON haukufai maana unaenda wayy baaack. Mambo ya Uhuru Mchanganyiko kabla ya Benjamin Mkapa na ukuta ule.

Nani kashaenda mechi ya Bomu FC? Au tizi la Super Star?
 
Hahahah, Pundit, umenifurahisha.

Mambo ya Shambani Tangi Bovu, wakati ule Masaki yaitwa Kichanga Chui. Hellenic Club pale unaripoti jumapili ukitoka Kanisani. O'Bay primary bado kulikuwa na walimu wazungu. Wakati ule kwenda Rungwe Oceanic au Kunduchi ilikuwa ni safari tosha.

Hahahaha, Chuche, Tass, bila kumsahau Nico Scaba(Scaba Scuba) kwenye mashindano pale Msasani Beach mchanaaaaa...
 
Fundi unapajua Mission Quarters mwanangu, wewe hata mchuzi kwa chapati wa SAIGON haukufai maana unaenda wayy baaack. Mambo ya Uhuru Mchanganyiko kabla ya Benjamin Mkapa na ukuta ule.

Nani kashaenda mechi ya Bomu FC? Au tizi la Super Star?

Wewe nini mambo yote yalikuwa Abajalo FC na Wica Sports Club....

Unaambiwa katika kila mechi ya Abajalo lazima kuwe na vagi....

Umewahi kwenda uwanja wa magunia kuangalia mechi wewe...?
 
Pundit,

Wakati ukiingia kwenye Mnuso na Album ya Osibisa kwenye kwapa, umevaa kigozi na juu umeweka mzula (O.k. Mzula walivaa watoto wa misheni kota) hauulizwi na mtu. Tofauti na wakati wenu, wenye akili wote( na wanaojua kucheza mpira) walienda kwenye shule za serikali na huko ndiko tulikokutana bila kujali nani katoka wapi. Wenzetu mna intaneshinol akademi kuanzia chekechea, mtakutana wapi?

Hao niliowataja ndiyo wazee wa Funk kabla ya huu upuuzi wenu wa sampling! Reggae ilikuwa roots n.k. n.k. Bar keys walikuwa wanapiga kwenye mashule! Wajanja walikuwa wanamsoma James Hardley Chase.

Lakini afadhali ya wewe. Kuhani hajui nini kilikuwepo kabla ya Mp-3!!!!

O.k. Basi. Inatosha.
 
Unamjua Deo Composer wewe? Steve Panki?
 
Wewe nini mambo yote yalikuwa Abajalo FC na Wica Sports Club....

Unaambiwa katika kila mechi ya Abajalo lazima kuwe na vagi....

Umewahi kwenda uwanja wa magunia kuangalia mechi wewe...?
Refa anachezesha na jambia kiunoni,alafu nje kuna lundo kama la lori moja la mawe na mayai viza.
 
........Watoto wa mjini wenyewe hawasemi kwamba wao ni watoto wa mjini, wanasemwa hivyo.........

......Nilishasema sana hapa JF,huyu jamaa yetu ni mshamba sana....naona watu hamnielewi....aagghh
 
Gee! Do we really need this type of thread here!? 😕
Kwanini tundelee kubaguana badala ya kujuimuika hapa kama Watanzania na kujadili mada mbali mbali za nchi yetu na dunia nzima!? Udini, sasa utoto wa mjini na wasio watoto wa mjini si ajabu na ya ukabila itatundikwa muda si mrefu. Hatuyataki haya ya kubaguana!!!

nakuunga mkono
 
sasa utoto wa mjini na kubaguana wapi na wapi tena? Hii ni celebrity forum,you have a choice kusoma au kuacha,as hii sio thread peke yake kwenye hii forums.Sio kila mtu anapitia kila kitu.
Anyhow,hii thread imesimama sana....mnakumbuka enzi hizo NBC,tulikuwa tunaita posta, walikuwa wanajaa wanafunzi kwenye ule ukuta wakisubiri UDA.hakuna majambazi wa kuiba benki siku hizo,kakae leo uone.
 
Wewe nini mambo yote yalikuwa Abajalo FC na Wica Sports Club....

Unaambiwa katika kila mechi ya Abajalo lazima kuwe na vagi....

Umewahi kwenda uwanja wa magunia kuangalia mechi wewe...?

Ha ......ha.....ha.....

Nyani vipi kuhusu wahasimu wa Abajaro hapo mitaani.

Wakikutana na Hao Abajaro na Sinza Stars ilikua si mchezo,kulikua na vijana hao wawili mmoja nimesikia ni Marehemu (Patrick)(PATTY) na ALex Ng'obo miaka hiyo ya themani mpaka tisini.

Uwanja wa Tandale maguniani,wakati wa kikombe sijui chanini,kulikua na vijana walikua wanatoka pale Magorofa ya Urafiki ,na vijana wa manzese walikua wanafundishwa na Father mmoja wa Kizungu wa kanisa la pale Chama (ukombozi) ile timu ilikua inaitwa FUTURE walikuwa wanacheza sana walee...
 
Pundit,

Wakati ukiingia kwenye Mnuso na Album ya Osibisa kwenye kwapa, umevaa kigozi na juu umeweka mzula (O.k. Mzula walivaa watoto wa misheni kota) hauulizwi na mtu. Tofauti na wakati wenu, wenye akili wote( na wanaojua kucheza mpira) walienda kwenye shule za serikali na huko ndiko tulikokutana bila kujali nani katoka wapi. Wenzetu mna intaneshinol akademi kuanzia chekechea, mtakutana wapi?

Hao niliowataja ndiyo wazee wa Funk kabla ya huu upuuzi wenu wa sampling! Reggae ilikuwa roots n.k. n.k. Bar keys walikuwa wanapiga kwenye mashule! Wajanja walikuwa wanamsoma James Hardley Chase.

Lakini afadhali ya wewe. Kuhani hajui nini kilikuwepo kabla ya Mp-3!!!!

O.k. Basi. Inatosha.

Unanikumbusha mbali mkuu. Inabidi utafsiri maana ya kigozi na mzula maana nadhani wengi wa vijana hapa na 'watoto wa mjini' labda hawajasikia maneno hayo.
 
Unanikumbusha mbali mkuu. Inabidi utafsiri maana ya kigozi na mzula maana nadhani wengi wa vijana hapa na 'watoto wa mjini' labda hawajasikia maneno hayo.

Kigozi-jeans hasa Lee. Kigozi ilikuwa ina refer kwa kale ka label kake.
Marvin Gaye-knitted cap influenced of course by Marvin.
Mzula-beret influenced by Che.
Milosis- viatu vya jeshi. Wagomvi walivipenda sana.
Mnuso-Party ambayo preferably haujaalikwa. Umenusa tu kuwa ipo.

Nimemkumbuka na Fela Ransome ( Kabla hajawa Anikulapo) Kuti na nyimbo zake za Lady na Shakara!

Kwa hao wanaoona hii thread ni ya kibaguzi. They need to get a life. We can't be serious all the time. Kama alivyosema mmoja wetu, sisi wote ni wakuja.
 
Mnaobeza hii thread humu jf kuna forums nyingi lazima mje huku? au kama namna gani vp anzesheni za kwenu wakati mnatega ndege na kukumbizana na kima huku maporini poa tu.

Miaka ya kati hapa 80's kule Magomeni mapipa chama langu lilikuwa Kiboko Msheli si mchezo, kata funua zama za kina Shua, Fadhili, Hafidh Mzee, Bangu Chilo, Masatu? et al ilikuwa kanyaga twende.

Kule Ilala kuna timu zaNungu, Cosmo, Juguno Mehu et al ( of course wengine wanajua habati na Bomu na Ashanti, Manyema nk) Hao Juguno Mehu walikuwa nuksi wakienda kwenye mechi wakirudi njiani wanapita wanapora saa mikononi mpaka wakifika klabu wana makapu ya saa! na baada ya muda over 90% walichukua meli na kutimka!

Hizo ni zama za kwenda Msondo wakati wanapiga mchana pale wami Bar ndio ilikuwa nafasi yetu wanafunzi wa primary kuchomoka kulisakata msondo.
 
Dogo elewa kuwa chama langu haina maana nami nilikuwa mvuta bangi kama wao, bali nilikuwa mshabiki wa timu Nzige Army ambayo makazi yalikuwa pale makuti na mimi ndio mitaa niliyokulia after-all nilikuwa dogo wa primary school tu.

Hope umeelewa
 
masatu nimekupata,i was just putting in some humour.hivyo unakumbuka zile timu za inter milan na inter ------(nimesahau)wakati zinacheza uwanja wa barafu refa mademla yuko peku na mbisu kiunoni nakumbuka mchezaji dao yeye hucheza bila viatu lakini mbabe.polisi huvizia majambazi yote ambayo wanted maana lazima wahudurie hii mechi
 
masatu, mbona unasahau kagera langer,messina, magomeni kondoa, barafu kulikuwa na yule jamaa tall wanamwita kirumba yeye hata akika shule ya tuliani mpira anaona.
 
Unae Brass Construction? Brothers Johnson? Fanya hima basi utuwekee tuliocheza disco San Sui, Italian Club na Pango Disco!
Pundit yuko right. Mtoto wa mjini hajisifii. Utamjua tu.Ssisi wote wa kuja!

Halafu mtoto wa mjini atakuwa ni yupi, yule aliyechezea Stockholm Boys au timu za magomeni Mapipa? Yule aliyeishi Kichangachui au Mission Quarter?[/SIZE][/FONT]

FM, Naona unawapenda sana Osibisa. Nina album yao somewhere. Pia baadhi ya nyimbo. Millie Jackson naupenda ule never have love like this before.... Osibisa nilikuwa sijui hata jina lao. Mwaka 1974 niliporudi Sikonge, kaka zangu nikakuta wanaimba ".. Yaaya ehhh, Yayaa ehhh yaya Bolingo..." Siku moja katika pitapita nikausikia ndiyo nikajua kuwa ni Osibisa. Hii bendi hadi leo bado ipo kijana mzoefu. Ntafanya mpango nikuwekee kwenye MP3 ila sema mie mvivu kufanya hivyo. Kama una nyimbo za zamani na wazihitaji sana basi andika na ntajaribu kukutafutia kwenye collection. Nimeshaanza kuziweka kwenye MP3 baadhi kwa hiyo hizo waweza zipata haraka. Ila itabidi uwe na subira ..... Let's get on.... (Marvin Gaye)
 
Back
Top Bottom