Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Message ya kwanza nilisaha ku quote.
Nina collection ya hawa wanamuziki. Nifanyeje ili niweze kuweka muziki wao hapa?
Unae Brass Construction? Brothers Johnson? Fanya hima basi utuwekee tuliocheza disco San Sui, Italian Club na Pango Disco!
Pundit yuko right. Mtoto wa mjini hajisifii. Utamjua tu.Ssisi wote wa kuja!
Halafu mtoto wa mjini atakuwa ni yupi, yule aliyechezea Stockholm Boys au timu za magomeni Mapipa? Yule aliyeishi Kichangachui au Mission Quarter?