Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
Unaongelea ile ya mtaa wa Uhuru au? karibu na gas station isiyokauka mafuta ya taa au nyingine?Hivi ile hoteli ya wakuja ya KIBODYA bado ipo maana ile watu woote from country side esp wanaotoka KIGOMA LAADHI ndio destination yao wakija Dar
Watu waliozaliwa kabla ya uhuru utawajua tu humu jamvini..... Majina yanayotajwa humu mhhh...... kama ya wapigania uhuru au wale wanajeshi wa KAR
mwafrika wa kike,nani kakwambia tumeshapata uhuru?
MWAZANGE,mabaharia wa temeke walikuwa wanatembea na mguu mpaka ugiriki,kufika majaliwa,maana njiani unakutana na john garang.mabaharia wa migomigo walikuwa wanastow away,wengi wametupwa baharini.mabaharia wa upanga walikuwa wanapanda ndege kuzifuata meli hukohuko umangani
GT,you never cease to amaze me,hata akina mwl NDOSI unawajua,hii mtu imewala sana wazazi wetu hela ya tuition.kuna mtu kanistua kwenye PM, kwamba gt anakuzuga,darasa kacheza nalo sawasawa
Watu waliozaliwa kabla ya uhuru utawajua tu humu jamvini..... Majina yanayotajwa humu mhhh...... kama ya wapigania uhuru au wale wanajeshi wa KAR
kama hiyo haitoshi..nakumbuka MIGURUWE KAMA HII NDIO ILIKUWA YENYEWE...NAKUMBUKA 1988 baharia malima aliporudi toka BURUDA basi alikuwa na guruwe kama hili
SOA
ndo maana mwanangu nikakwambia tuko humu tuonaongea na saa singine tunakosewa adabu na watoto ambao in the real life hatuna cha kuongeoa nao kwa sababu si saizi yetu na pili hatuendani hata kidogo
Hebu niambie wewe kama mtu kasoma tusheni kwa NDOSI wewe huyo una cha kuongea naye?
huyo ni kinda tuuu lakini mbaya pale wanapoleta jeuri na mikogo isiyo na kichwa wala miguuu ndio maana mie huwa naona bora nijichimbie huku tuuu
Ukweli ni kuwa mie shule yangu ni hiyo form 4 tena ya kushikiwa kwa mkono tuuu maana unajua ukitoka kwenye femilia ya watu wa bwimbwi, wacheza kamari, watu wa meli hapo kuna cha shule?
hii janja yetu ni kwa sababu ndio hivyo tena ushakuwa mtoto wa kariakoo sasa inabidi uwe mjanja tuu mengine twajifunzia humu humu
hamna lolote kama ningekuwa nimesoma shule saa hizi ningekuwa niko ma Yu eni au ndio navimba mtumbo kwa pesa za ufisadi tuuu
wee acha tuu
by the way BOX LANGU LA CABLE limenigomea hivyo hakuna cha kucheki gem wala nini...noma tupu
GT,
Wlikuwa wanakurushia vidudu vya mtoni nini? straight from "Kishtobe"?
unamjua zungu Vale alikuwa anazungusha BATANI na BURUDA?
Halafu kulikuwa na baharia mmoja muandishi wa habari anapiga sana gita Freddy Macha jamaa mara ya mwisho nilimsikia alikuwa mitaa ya COPA CABANA. Jamaa alizibukia safari mpaka akaandika short story "Twen'zetu Ulaya" miaka ya mwanzo ya 1980s.
Unawapata hawa?
GT,
Walipe tu watu wa cable, hamna cha box kukugomea wala nini 🙂
Ndio maana tukasema hatuongei na waliosoma tution kwa Ndosi au waliokuwa wanakula FOOD EVENING kwani ni AIBU kwetu sisi
PUNDIT,hivyo freddy macha amewahi kuwa baharia,au nimechanganya,hii mtu si ilifanya daily news ikatokomea brazil,akaibukia london,imewahi ku busk na guiter mpaka kwenye underground london.yupo london ana blog yake(search hilo jina 4 his blog)jamaa poa ni mtanzania damu.jamaa kwa poetry ni mzima