Watoto wa Mjini Dar

Watoto wa Mjini Dar

Ni wapi nimeandika kuwa niko offended? ... Hii ni thread kama zingine zozote hapa JF na nina kila haki ya kuchangia kile ninachoona kinafaa. Au sio?

Una kila haki mamaa sijatofautiana na wewe katika hilo..maana naona kama unaua flow ya stori hapa..kama unayo stori yoyote ile ya dar orijino..sio hii ya sasa ukiwa na alfu tatu mfukoni umepata tiketi ya kwenda dar...tumiminie tuvinyuke nayo......

Oyaaa kuna nayekumbuka mabasi ya Maranzana hapo yale yaliyokuwa yanaenda Dar - Nairobi. Tlikuwa tunayaita chinjachinja...
 
GT,

Hivi kuna yule mdogo wake na baharia Malima, alipataga meli akaenda Italy, halafu akarudi na throwback ya Lakers tu. Tukaanza kumwita baharia "karudi bure." Hivi mshikaji jina lake nani tena?

Halafu kuna hawa mabaharia sijui wako wapi siku hizi:

1) Hamidu Machupa
2) Msafiri (alikuwa anakaa kwa Nyerere) - huyu mshikaji alipata meli mara moja tu, lakini alivyorudi hizo fujo zake....duh ilikuwa balaa.
3) Hivi na Malima mwenyewe yuko wapi siku hizi?

Halafu kuna wale CD wa kwanza kwanza kabisa bongo, tulikuwa tunawaita magoti sijui wako wapi siku hizi (kama bado wako hai):
1) Kuna yule migoko (jina nimesahau)
2) Aunt Mele
3) Kuna yule bubu

wee msen£$%^ weee (jocking man) duh1 wee umewajuaje hawa?

hawa jamaa umewajuaje?

duhh! noma kichizi

sasa ngoja nikupe mkanda mzima ulivyokuwa

MALIMA aka mzee COSBY au COZBY alikuwa ni mtoto wa magomeni mapipa kuleee nyuma ya ofisi za wilaya na alikuwa na mshikaji wake anaitwa COASTER au COSTA

Hawa jamaa walikwenda ITALI enzi zile MARADONA ndio anachezea NAPOLI na walipobiga bao wakatuma pesa kwa mjomba wao awanunulie nyumba na ndio ile nyumba waliokuwa wamepangisha wale Malaya

Sasa 1989 alima aliporudi mambo safi na ndio alirudi na lile Guruwe Jeusi lilikuwa na mastika kibao ya BOB MARLEY na wakawa poa sasa ikaja tripu ya pili ambayo ilidibi COSTA urudi shamba dogo ndipo noma likatokea kwa sababu waliibiwa New Delhi tena kwenye maskani ya watoto wa Kibongo - Pahar Ganj, pale Green Guest House...kama kuna watu wana nyeti zaidi watakupeni mkanda mzima...hao itakuwa jamaa zake FMES hao akija mwenyewe atakuambieni

Anyway yule anko alipoona kuwa jamaa hawana hati ndipo akawachenjia na hapo ndipo wataalam wa International Relations wanakuambia wa THE "WATERSHED MOMENT" na wakaanza kulaumiana na eventually haata urafiki wenyewe ukaisha

By the way nasikia yule ANKO alishavuta sijui kama kweli

Hapo mzee COSBY akaamua kurudi tena shamba na kule kama kawaida mzigo inabidi uutesti mwenywe kama huwezi basi unamkodisha testa ...sasa kama ndio ushaondoka bongo kiguu juu sasa kuna cha kumpa pesa tesa? eventually kaanza kuutesi mwenyewe na mwishowe naye akawa JUNKI

Wakati huo tena kule Migo migo wanawake wa kiswahili wanampakazia COSTA watoto left and right na nasikia naye aliamaua kutiimua...si unajua tena sie waswahili...yakitushinda basi ndege ndio rafiki yetu mkubwa na mara ya mwisho ilikuwa about 10 years ago niliskia alionekana BURUDA

ile nyumba sijui iliishia wapi

Of couse naikumbuka sana ile fulana na jezi ya JOHNSON ya LAKERS na hiii inanipelekea kumzungumzia SUBJECT no 2 kwenye hiyo post yako bwana MSAFIRI

MSAFIRI alikuwa mweupe hivi na mfupi na mpenzi wa mpira ile kinoma....nitakuwa nakuongopea sijui aliishia wapi lakini ninachokua alikuwa na washikaji zake wanauza mitumba hivyo hata zile spea si zipte zilikuwa zinatoka viwanja na kwa sababu deri la mitumba likifunguliwa yeye huwa yupo so kila siku yeye ni mtu wa kupendeza tuu sijui kama aliacha tabua ya kuninginiza kitambaa matakoni kwenye jeans

HAMIDU MACHUA aka DALAMINI

Hamidu ndio alishalowea kule Cape town na mshikaji wake HIMIDI alipopigwa palanja UK aliamua kumjoin...inshort ninavyojua mimi habri za mwisho za MACHUPA ni kua alifungua BED AND BREAKFAST kwenye mji mmoja unajiwa CARTHAGENA ...eti target ilikuwa ni wale wanaofanya ECO-TOURISM wakati mwenyewe nadhani unajua whats up?

Once again dont be decievd Machupa ni mtoto wa TEMEKE kama wengine na kwao ni TABORA in short ni MNYAMWEZI ambaye kalelewa na wazaramo na sasa hivi ni raia wa RSA! inshort hatembei na ile kadi ya CCM

Cant knock the brothers Hustle

MALAYA:

Uliowataja yule migoko alikuwa anaitwa PAMELA alipata bwana wa KIDHUNGU na alivuta huu mwaka wa pili

Anty Mele naye alivuta

Bubu nasikia alikwenda Ujerumani na mDHUNGU wake

and having said that Unakumbuka lile booty la DINA anty yake BANDORA?
 
Last edited:
Una kila haki mamaa sijatofautiana na wewe katika hilo..maana naona kama unaua flow ya stori hapa..kama unayo stori yoyote ile ya dar orijino..sio hii ya sasa ukiwa na alfu tatu mfukoni umepata tiketi ya kwenda dar...tumiminie tuvinyuke nayo......

Oyaaa kuna nayekumbuka mabasi ya Maranzana hapo yale yaliyokuwa yanaenda Dar - Nairobi. Tlikuwa tunayaita chinjachinja...

Mkulu,

Dar haiwezi kuwa dar kama hujala PILAU (chakula,sio ile nyingine) ya BUTIAMA restaulant,
Toka miaka ya 70 pilau inatest ile ile .
 
Kipimo kipi hicho kimepima comprehension ya hii thread na ikaonekana kuwa iko beyond any point? Wewe changia tu thread kama ulivyokuwa unafanya mkuu, ukiona ninayoandika ni pumba.... una kila sababu ya kutosoma kila ninachoandika.

Mimi ninachangia context ya kile kilichoandikwa hapa kuanzia mwanzo wa hii thread hadi sasa hivi.

Many thanks

you know what,i love your no standing for any nonsense stance,i take back my words,and from the bottom of my heart love you.once again many thanks
 
Sana tu wanajazana kwa fundi viatu/ shu shaina chini pale....

Ebwana kula yule babu wa kidosi aliyewekwa NDONDOCHA pale nje ya Gorofa la ALOYCE MUSHI wa CO-ARCHITECTURE bado yupo
?

yule mzee alikuwa anandevu na kutwa nzima anawekwa akae kwenye kiti pale weeee mpaka jioni

wadosi noma zamani nilifikiri mzee mushi ndio alikuwa kamfanya vile kumbe wala, ni wadosi wenzie nsdio waliomfanya vile noma kichizi

Wale WATINDIGA waliokuwa wanajazana HOTELI ya kibodya noma kichizi halafu wanajua kiswahili lakini wanajidai wazaire...akipita polisi wanabadili wanaongea kiswahili

ahhh acha tuuu
 
Una kila haki mamaa sijatofautiana na wewe katika hilo..maana naona kama unaua flow ya stori hapa..kama unayo stori yoyote ile ya dar orijino..sio hii ya sasa ukiwa na alfu tatu mfukoni umepata tiketi ya kwenda dar...tumiminie tuvinyuke nayo......

Oyaaa kuna nayekumbuka mabasi ya Maranzana hapo yale yaliyokuwa yanaenda Dar - Nairobi. Tlikuwa tunayaita chinjachinja...

Fair n'uff

Hayo ya kuua flow ya stori ni kinda misguided lakini kama ni mtizamo wako basi sina cha kufanya kukubadilisha.

Mkuu Mwanzage...... endeleza story zako za Dar bila kujali nimeandika nini. Mimi nimetoa senti zangu kwenye hii thread (tafadhali soma post yangu ya kwanza hapa) na yaliyofuatia toka kwa GT umeyaona.

Kama nia yako ni kupata story za Dar, nadhani utakuwa willing kupata story za kila mtu hata toka kwa "waliosoma kwa Ndosi" au wale "wanaokula FOOD EVENING" au sio?

Kwa bahati mbaya, kama vile nilivyoona toka kwako, SOA, na Sanda Matuta; ombi (na amri) la kuwa mimi nisichangie hapa au ninyamaze limekataliwa.
 
Muulize kama unamjua Athumani China (kiungo wa yanga zamani,yupo huko juu) alikua na mshikaji wake wanasaka pesa ya kupaa seaman book wakaona bora wauze sigara za magendo (wakati huo deal) 1984-5 mwenzie akaitoa yeye akaishia kucheza mpira yanga.
Labda nyinyi watoto wa KKOO mlikua njia nyingine ya kupata pesa

SLIM unamjua?
 
Mkulu,

Dar haiwezi kuwa dar kama hujala PILAU (chakula,sio ile nyingine) ya BUTIAMA restaulant,
Toka miaka ya 70 pilau inatest ile ile .
Mkulu shukrani sana kwa kuklarifai..maan ghafla nimakona he imekuwaje tena tumejump mada.....anyway jina familia ila ilikuwa mtaa gani hoteli yenyewe? nipe majina ya zamani ya mitaa sio hii ya sasa maana utanchanganya tu...
 
mama punguza munkhar,pumzika tu hii flow humu ndani,is beyond thee comprehension. many thanks

sasa mtoto wa kike anataka kuzungumza story za mabaharia says alot about him/her

lakini mimi tayari nishamweka kwenye INGORE LIST

Hiyo ndio dawa
 
Mkulu shukrani sana kwa kuklarifai..maan ghafla nimakona he imekuwaje tena tumejump mada.....anyway jina familia ila ilikuwa mtaa gani hoteli yenyewe? nipe majina ya zamani ya mitaa sio hii ya sasa maana utanchanganya tu...

ile hoteli iko nyuma ya mtaa wa KIZINGO lakini pale pale magomeni mapipa ukishuka ukitokea FIRE hupotei

na KAPUUYA alikuwa na duka la kuuza maziwa opposite pale
 
Yule mtoto wa Kimanga,kaka yake alikua mcheza mpira sijui (ana meno yametoka kwa nje,huyo kaka)
wana nyumba pale kwa sheikh yayha?kama ndio huyo niambie nikupe story yake

yuko oslo NORWAY

anaitwa SLIM ABEID SLIM

alikuwa mwenye SWAHILI FOOD RESTAURANT

na pia alikuwa ni INTERIOR DECORATOR

ana binti wake anaitwa SABRINA

Lete story
 
sasa mtoto wa kike anataka kuzungumza story za mabaharia says alot about him/her

lakini mimi tayari nishamweka kwenye INGORE LIST

Hiyo ndio dawa

Ohh ... kumbe sasa thread ni kwa ajili ya mabaharia tu?

Na BTW... kwani mabaharia ni watoto wa kiume peke yake? Au ndio mambo ya Saudi Arabia hapa ya gender dhaifu?

Mtoto wa kiume anayedhani kuwa kazi fulani ni kwa ajili ya gender fulani... hiyo dhana says alot about him/her
 
Fair n'uff

Hayo ya kuua flow ya stori ni kinda misguided lakini kama ni mtizamo wako basi sina cha kufanya kukubadilisha.

Mkuu Mwanzage...... endeleza story zako za Dar bila kujali nimeandika nini. Mimi nimetoa senti zangu kwenye hii thread (tafadhali soma post yangu ya kwanza hapa) na yaliyofuatia toka kwa GT umeyaona.

Kama nia yako ni kupata story za Dar, nadhani utakuwa willing kupata story za kila mtu hata toka kwa "waliosoma kwa Ndosi" au wale "wanaokula FOOD EVENING" au sio?

Kwa bahati mbaya, kama vile nilivyoona toka kwako, SOA, na Sanda Matuta; ombi (na amri) la kuwa mimi nisichangie hapa au ninyamaze limekataliwa.

Dadaa dialogue yako na GT nakuachia wewe na mkulu GT...unafikiri sijaiona? Nimeiona vizuri tu ila nimeikaukia kwa sababu sikutaka kuigeuza hii thread iwe ya ubishi au kupick side then ionekane tunamchangia mtu mande hapa...
Nakuheshimu sana kwa vijisenti vyako hapa jamvini...sina sababu ya kubishana kwa hilo...Aksante.
 
Ebwana kula yule babu wa kidosi aliyewekwa NDONDOCHA pale nje ya Gorofa la ALOYCE MUSHI wa CO-ARCHITECTURE bado yupo
?

yule mzee alikuwa anandevu na kutwa nzima anawekwa akae kwenye kiti pale weeee mpaka jioni

wadosi noma zamani nilifikiri mzee mushi ndio alikuwa kamfanya vile kumbe wala, ni wadosi wenzie nsdio waliomfanya vile noma kichizi

Wale WATINDIGA waliokuwa wanajazana HOTELI ya kibodya noma kichizi halafu wanajua kiswahili lakini wanajidai wazaire...akipita polisi wanabadili wanaongea kiswahili

ahhh acha tuuu

😀😀😀 Umenikumbushaaaa......tulikuwa na kamchezo ka kumnyemelea na kumpora kitu kama kashika mkononi...kuna siku alinitoa baruti sitosahau.....Dah.
 
Back
Top Bottom