Watoto wa Mjini Dar

Watoto wa Mjini Dar

GT,you never cease to amaze me,hata akina mwl NDOSI unawajua,hii mtu imewala sana wazazi wetu hela ya tuition.kuna mtu kanistua kwenye PM, kwamba gt anakuzuga,darasa kacheza nalo sawasawa
 
Watu waliozaliwa kabla ya uhuru utawajua tu humu jamvini..... Majina yanayotajwa humu mhhh...... kama ya wapigania uhuru au wale wanajeshi wa KAR
 
GT,

Wlikuwa wanakurushia vidudu vya mtoni nini? straight from "Kishtobe"?

unamjua zungu Vale alikuwa anazungusha BATANI na BURUDA?

Halafu kulikuwa na baharia mmoja muandishi wa habari anapiga sana gita Freddy Macha jamaa mara ya mwisho nilimsikia alikuwa mitaa ya COPA CABANA. Jamaa alizibukia safari mpaka akaandika short story "Twen'zetu Ulaya" miaka ya mwanzo ya 1980s.

Unawapata hawa?
 
PUNDIT,hivyo freddy macha amewahi kuwa baharia,au nimechanganya,hii mtu si ilifanya daily news ikatokomea brazil,akaibukia london,imewahi ku busk na guiter mpaka kwenye underground london.yupo london ana blog yake(search hilo jina 4 his blog)jamaa poa ni mtanzania damu.jamaa kwa poetry ni mzima
 
Hiyo ni Dar wakulu enzi hizo....sio sasa imejaa wabangubangu....mnanikumbusha sana......kulikuwa na ule ushindani wa upande gani wa jiji umetoa mabaharia wengi.....mitaa ya migomigo au Temeke??
By the way GT
Hivi ile hoteli ya wakuja ya KIBODYA bado ipo maana ile watu woote from country side esp wanaotoka KIGOMA LAADHI ndio destination yao wakija Dar
Unaongelea ile ya mtaa wa Uhuru au? karibu na gas station isiyokauka mafuta ya taa au nyingine?
 
MWAZANGE,mabaharia wa temeke walikuwa wanatembea na mguu mpaka ugiriki,kufika majaliwa,maana njiani unakutana na john garang.mabaharia wa migomigo walikuwa wanastow away,wengi wametupwa baharini.mabaharia wa upanga walikuwa wanapanda ndege kuzifuata meli hukohuko umangani
 
Ha ha ha,Hii ndio ilikua DASLAM,
Walioshindwa kupanda meli waliishia kuuza MAGENDO (sigara) na kucheza mpira yanga na simba.
 
MWAZANGE,mabaharia wa temeke walikuwa wanatembea na mguu mpaka ugiriki,kufika majaliwa,maana njiani unakutana na john garang.mabaharia wa migomigo walikuwa wanastow away,wengi wametupwa baharini.mabaharia wa upanga walikuwa wanapanda ndege kuzifuata meli hukohuko umangani

Umenikumbusha sana kustow away na meli za mahindi hadi sauzi........Yuko mshkaji wangu mmoja 'jina kapuni' maana anablogu humu jamvini alikuwa anaishi mtaa wa Kipata sasa hivi hata sijui wanuitaje, aiponea chupuchupu na dawa ya kuulia wadudu wa mahindi kwenye ghala la kuhifadhia nafaka melini akiwa safarini sauzi...hivi sasa yupo somewhere ugiriki anakula life tu.
Hao ndio waliostruggle maisha sio hivi sasa watoto wanasafiri left and right na fedha za kifisadi tu.....
 
Hao jamaa humu ndio waasi wa Kwenda huko ULAYA .
Baada ya JULIUS kubana sana watu walio kuwa wananda ulaya ilikua ni wasomi tu na yeye(julius) hakua na mipango mizuri ya Elimu (kwa watoto walio ikosa kutokana na umaskini) watoto wa Mbwa hao wa MZIZIMA wakatafuta njia ya mkato
 
GT,you never cease to amaze me,hata akina mwl NDOSI unawajua,hii mtu imewala sana wazazi wetu hela ya tuition.kuna mtu kanistua kwenye PM, kwamba gt anakuzuga,darasa kacheza nalo sawasawa

SOA

ndo maana mwanangu nikakwambia tuko humu tuonaongea na saa singine tunakosewa adabu na watoto ambao in the real life hatuna cha kuongeoa nao kwa sababu si saizi yetu na pili hatuendani hata kidogo

Hebu niambie wewe kama mtu kasoma tusheni kwa NDOSI wewe huyo una cha kuongea naye?

huyo ni kinda tuuu lakini mbaya pale wanapoleta jeuri na mikogo isiyo na kichwa wala miguuu ndio maana mie huwa naona bora nijichimbie huku tuuu

Ukweli ni kuwa mie shule yangu ni hiyo form 4 tena ya kushikiwa kwa mkono tuuu maana unajua ukitoka kwenye femilia ya watu wa bwimbwi, wacheza kamari, watu wa meli hapo kuna cha shule?

hii janja yetu ni kwa sababu ndio hivyo tena ushakuwa mtoto wa kariakoo sasa inabidi uwe mjanja tuu mengine twajifunzia humu humu

hamna lolote kama ningekuwa nimesoma shule saa hizi ningekuwa niko ma Yu eni au ndio navimba mtumbo kwa pesa za ufisadi tuuu

wee acha tuu

by the way BOX LANGU LA CABLE limenigomea hivyo hakuna cha kucheki gem wala nini...noma tupu
 
Watu waliozaliwa kabla ya uhuru utawajua tu humu jamvini..... Majina yanayotajwa humu mhhh...... kama ya wapigania uhuru au wale wanajeshi wa KAR

Ndio maana tukasema hatuongei na waliosoma tution kwa Ndosi au waliokuwa wanakula FOOD EVENING kwani ni AIBU kwetu sisi
 
kama hiyo haitoshi..nakumbuka MIGURUWE KAMA HII NDIO ILIKUWA YENYEWE...NAKUMBUKA 1988 baharia malima aliporudi toka BURUDA basi alikuwa na guruwe kama hili

GT,

Hivi kuna yule mdogo wake na baharia Malima, alipataga meli akaenda Italy, halafu akarudi na throwback ya Lakers tu. Tukaanza kumwita baharia "karudi bure." Hivi mshikaji jina lake nani tena?

Halafu kuna hawa mabaharia sijui wako wapi siku hizi:

1) Hamidu Machupa
2) Msafiri (alikuwa anakaa kwa Nyerere) - huyu mshikaji alipata meli mara moja tu, lakini alivyorudi hizo fujo zake....duh ilikuwa balaa.
3) Hivi na Malima mwenyewe yuko wapi siku hizi?

Halafu kuna wale CD wa kwanza kwanza kabisa bongo, tulikuwa tunawaita magoti sijui wako wapi siku hizi (kama bado wako hai):
1) Kuna yule migoko (jina nimesahau)
2) Aunt Mele
3) Kuna yule bubu
 
SOA

ndo maana mwanangu nikakwambia tuko humu tuonaongea na saa singine tunakosewa adabu na watoto ambao in the real life hatuna cha kuongeoa nao kwa sababu si saizi yetu na pili hatuendani hata kidogo

Hebu niambie wewe kama mtu kasoma tusheni kwa NDOSI wewe huyo una cha kuongea naye?

huyo ni kinda tuuu lakini mbaya pale wanapoleta jeuri na mikogo isiyo na kichwa wala miguuu ndio maana mie huwa naona bora nijichimbie huku tuuu

Ukweli ni kuwa mie shule yangu ni hiyo form 4 tena ya kushikiwa kwa mkono tuuu maana unajua ukitoka kwenye femilia ya watu wa bwimbwi, wacheza kamari, watu wa meli hapo kuna cha shule?

hii janja yetu ni kwa sababu ndio hivyo tena ushakuwa mtoto wa kariakoo sasa inabidi uwe mjanja tuu mengine twajifunzia humu humu

hamna lolote kama ningekuwa nimesoma shule saa hizi ningekuwa niko ma Yu eni au ndio navimba mtumbo kwa pesa za ufisadi tuuu

wee acha tuu

by the way BOX LANGU LA CABLE limenigomea hivyo hakuna cha kucheki gem wala nini...noma tupu

GT,

Walipe tu watu wa cable, hamna cha box kukugomea wala nini 🙂
 
GT,

Wlikuwa wanakurushia vidudu vya mtoni nini? straight from "Kishtobe"?

unamjua zungu Vale alikuwa anazungusha BATANI na BURUDA?

Halafu kulikuwa na baharia mmoja muandishi wa habari anapiga sana gita Freddy Macha jamaa mara ya mwisho nilimsikia alikuwa mitaa ya COPA CABANA. Jamaa alizibukia safari mpaka akaandika short story "Twen'zetu Ulaya" miaka ya mwanzo ya 1980s.

Unawapata hawa?

Freddy macha yuko London na mitikasi yake ya kuwaingiza KINGI wadhungu wanaojitia eti wako "CULTURED" whatever that means nowadays

mara ya mwisho nilikutana naye Ubalozini

lakini huyo FM mwenyewe maana haonenaki kama alihangaika sana kupata DISCHAJI BUKU maana jamaa sijui ndio mapozi baada kujidai mwanidishi aonekane academic hata sielewi lakini haonekani kama alikuwa kwenye meli zilizobeba Mafuta au gesi au madude mazito

In short sidhani hata kama aliwahi kuwa Engine Boy maana inaonekana aliunganishiwa line na WACHAGGA wenzie akapata zile CRUISE SHIP na mle tena kwa sababu ni mtu mweusi akajidai naye ni mwanaziki the rest is history

hiyo yote ni theory tuuu and i cant knock his HUSTLE maana ndio mihangaiko

lakini yuko na blog yake kama ndio mwenyewe lakini
 
GT unaikumbuka BACK TOWN kwa wakabaji?
Nyuma ya Msufi Manzese upande wa kushoto kama unaenda Argentina pale kwa Bakheresa,kuna wachizi wa wangu pale sijui siku hizi wako wapi labda nimuulize Michuzi
 
GT,

Walipe tu watu wa cable, hamna cha box kukugomea wala nini 🙂

mhhhh nitawalipa vipi wakati box lenyewe ni la kimitikasi?

jamaa kila nikimpigia simu hapokei nampata mkewe noma tupu box limegoma lakini potelema mbali najua ARSENAL watapigwa bao tuuu sasa its not even worth kuutazama mpira wenyewe

sema tatizo nitakuwa siwezi kupata MAPILAU si unajua tena box lenyewe linakuja full mziki...mambo ya kaina Sara Jay,sijui Devoe sijui, Pinky sijui nani siui basi ahh we acha tuuu

ndio maana nimeona nitinge tuu humu kijiweni
 
Ndio maana tukasema hatuongei na waliosoma tution kwa Ndosi au waliokuwa wanakula FOOD EVENING kwani ni AIBU kwetu sisi

Ulichofanya hapa ni kuongea na sasa hii ni AIBU

Unajipa standard ya juu sana na hao wenzako ambao hamuongei na waliosoma kwa Ndosi na kisha unakesha hapa JF kuongea na waliosoma kwa Ndosi.

Kama hutaki kuongea na waliosoma kwa Ndosi (BTW mimi si mmoja wao) basi ungekuwa na blog yako ya "watu wa mjini" na "wasiongea na waliosoma kwa Ndosi" kama mwenzako alivyoanzisha ya kwake akiita taifaletu wakati akiishia kufanya plagiarism.

Majigambo ya bure...... unajiweka standard ya juu ukidharau wenzako na kusifia kuishi Dar kabla na muda mfupi baada ya uhuru as if that's the only qualification ya kuwa mtoto wa mjini.

Labda thread hii mngeiita ya wazee wa mjini Dar au ya watoto wa mjini Dar waliozaliwa kabla na muda mfupi baada ya uhuru wa Tanganyika.
 
PUNDIT,hivyo freddy macha amewahi kuwa baharia,au nimechanganya,hii mtu si ilifanya daily news ikatokomea brazil,akaibukia london,imewahi ku busk na guiter mpaka kwenye underground london.yupo london ana blog yake(search hilo jina 4 his blog)jamaa poa ni mtanzania damu.jamaa kwa poetry ni mzima

Bahara gai anazungumza ka Shakespare? ndio maana nikasema FREDY MACHA hajakaa bichi yule alikuwa ni mtoto wa kishua na wakampandisha kwenye meli za wa watalii...na narudia kwa sababu wachagga wajanja wajanja yule atakuwa alipelekwa direct wa FIRST OFFICER kuwa tutazamie mwanetu huyo

Lakini si mtu ambaye alikaa Capetown enzi za Pik Botha anasubiri pipa kama wengine

in short record ya Ubaharia ya Fredy Macha iko "QUESTIONABLE"

The Jury is out on this
 
Back
Top Bottom