Watoto WA morogoro watabaki kusumbua Sana MF chinno wana Man na mandoga Kwa sasa

Watoto WA morogoro watabaki kusumbua Sana MF chinno wana Man na mandoga Kwa sasa

BEST 001

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2021
Posts
242
Reaction score
475
Morogoro ni mji WA vipaji na vituko kila siku toka enzi Za afande sele , o. Ten, stamina , Jack simela r. I. P no wengineo taja wasanii wengine WA morogoro tuwape shout out apa Kwa uwepo wao
 
Kigoma kwenye burudani inakimbiza

Morogoro kwenye michezo ni untouchable

Mbeya kwenye imani ya KiKristo ni baba lao

Dar kwenye umbeya haina mbambamba..
 
Kigoma kwenye burudani inakimbiza

Morogoro kwenye michezo ni untouchable

Mbeya kwenye imani ya KiKristo ni baba lao

Dar kwenye umbeya haina mbambamba..
😁😂😆😄😃😃
 
Kigoma kwenye burudani inakimbiza

Morogoro kwenye michezo ni untouchable

Mbeya kwenye imani ya KiKristo ni baba lao

Dar kwenye umbeya haina mbambamba..
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]aiseee
 
Back
Top Bottom