Kipindi hicho st.marks tunaopoa mademu zenu wa st.mathew walikuwa wanatukubari sana aisee full vurugu full ushirikiano walimu wenu wenyewe walikuwa wanaisoma no.wapii patron erick wapi patron nsajigwa chimbua day ndio ilikuwa disko letu.ila kuna mwalimu mmoja hivi aliitwa mshana aisee usiombe uingie anga zake na kuna yule alikuwa anapenda kusema upo very shabby hahaha sijui alikuwa anaitwa nani nishamsahau
Hahahahaha fuso ilikuja baadayee ilianza canter ilikuwa imeandikwa st.mathew ubavuni ngoja nitafute picha za kipindi hicho nitupie then wakaja na fuso.mshana alikuwepo hadi 2010 na ki samurai chake, anatunza fimbo kule nyuma, 2010 ndiyo nilikuwa advance pale, waliosoma pale kuanzia pre form one hadi 6 wanastory nyingi sana,
st. marks walikuwa wanapanda fuso kipindi hiko, CHIMBUA ndo wanakuja, nakumbuka tuliokuwa advance yani ukikasalimia katoto ka O level kanafurahi kweli, tumewala sana madogo wale, walikuwa wanapenda kuja kuzurura Advance kule,
Hahahaha aikuonaga hapaaa ila mademu zenu walikuwa wanatukubali hatariiisema mlikuwa mnaonekana watoto wa mbwa sana,