watoto wa Mutembei (st. Matthew's , st. Mark's, ujenzi)

watoto wa Mutembei (st. Matthew's , st. Mark's, ujenzi)

Sauli

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
416
Reaction score
574
wazazi wengi wa kipato cha kati walipeleka na wanazidi kupeleka watoto wao katika shule za huyu mzee,

huu uzi upo kukumbushana kwa wale tuliopita kwenye shule za huyu mzee, kwani tupo maelfu,

karibuni tukumbushane CHIMBUA, pilau la kufungia shule, MSOSI WA MAMA KAYOMBO, MBUNYE kule bwenini, tuliowahi kukamatwa na smartboys,

tukumbushane kuhusu walimu wakatili, kama mpeli, mr peter na wengine,

binafsi nimepita pale kwa miaka miwili nikafukuzwa kisa magendo,

kuna mengi ya kufurahisha na kusikitsha, karibuni tukumbusane.
 
Mpeli hahaha
vp mkuu, nawe ulishakumbwa na dhahama, ulishaburuza miguu...? ukisikia nani kaburuza miguu, nakata kuanzia hapa, mtajeni, nakata hapa tena, lazima usikie ni fulani..........
 
Hahaahaha bahati nzuri nimepita kwenye shule za huyo mzee double in one .namaanisha nimesoma st.marks kulala mathew kipindi hicho 2005 huko tunapanda canter dereva alikuwa ugen na baba ubayaaa hahaha kwa baba kilindo namkubali sana yule mzee alikuwa smart na hakubali kuyumbishwa sio yule headmaster wenu mmasai hahaha.kilindo popote ulipo nahitaji kukuona nikupe hata cret la bia japo haafiki ukarimu wako
 
Kipindi hicho st.marks tunaopoa mademu zenu wa st.mathew walikuwa wanatukubari sana aisee full vurugu full ushirikiano walimu wenu wenyewe walikuwa wanaisoma no.wapii patron erick wapi patron nsajigwa chimbua day ndio ilikuwa disko letu.ila kuna mwalimu mmoja hivi aliitwa mshana aisee usiombe uingie anga zake na kuna yule alikuwa anapenda kusema upo very shabby hahaha sijui alikuwa anaitwa nani nishamsahau
 
mshana alikuwepo hadi 2010 na ki samurai chake, anatunza fimbo kule nyuma, 2010 ndiyo nilikuwa advance pale, waliosoma pale kuanzia pre form one hadi 6 wanastory nyingi sana,

st. marks walikuwa wanapanda fuso kipindi hiko, CHIMBUA ndo wanakuja, nakumbuka tuliokuwa advance yani ukikasalimia katoto ka O level kanafurahi kweli, tumewala sana madogo wale, walikuwa wanapenda kuja kuzurura Advance kule,
 
Hahahahaha fuso ilikuja baadayee ilianza canter ilikuwa imeandikwa st.mathew ubavuni ngoja nitafute picha za kipindi hicho nitupie then wakaja na fuso.
 
Hahahahahahhahahahha hii thread imenchekesha saaaana.
 
Back
Top Bottom