Sauli
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 416
- 574
wazazi wengi wa kipato cha kati walipeleka na wanazidi kupeleka watoto wao katika shule za huyu mzee,
huu uzi upo kukumbushana kwa wale tuliopita kwenye shule za huyu mzee, kwani tupo maelfu,
karibuni tukumbushane CHIMBUA, pilau la kufungia shule, MSOSI WA MAMA KAYOMBO, MBUNYE kule bwenini, tuliowahi kukamatwa na smartboys,
tukumbushane kuhusu walimu wakatili, kama mpeli, mr peter na wengine,
binafsi nimepita pale kwa miaka miwili nikafukuzwa kisa magendo,
kuna mengi ya kufurahisha na kusikitsha, karibuni tukumbusane.