Watoto wa Nabii Mussa hawakuwa Wayahudi kwasababu Mama Yao hakuwa Myahudi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Moderator tafadhali naomba Uzi huu usiunganishwe kwingineko.

Wadau hamjamboni nyote?

Watoto wawili wa Nabii Musa Gershom na Eliezer ambao alizaa na mkewe Sipora binti Yethro yule kuhani wa Midiani hawakuhesabiwa kuwa Wayahudi (Jews).

Najua utajiuliza kwanini ila jibu ni kwamba Sipora hakuwa Myahudi hivyo kuwaondolea sifa hizo hata watoto wake!

Hata hivyo Watoto wa Haruni nduguye Mussa wao walihesabika kuwa Wayahudi kwakuwa Mama yao alikuwa Myahudi

Karibuni tujadili tukitoa ushahidi kupitia maandiko matakatifu pamoja na nyaraka mbalimbali

Lugha zisizo na staha hazikubaliki
 
Mkuu huyu Mussa ni wa kwenye Biblia, Msaafu au Tanakh?
 
Hebu tupe andiko mkuu!
 
Back
Top Bottom