Watoto wa obama ni '

wakati wewe unaandaa wanao ili waje kuajiriwa hapo baadae,obama anawandaa wa kwake kuwa watawala,as to the reason y he travels with them quite often.make them able to gain experience in international politics.inasemekana hao mabinti hata speech za mshua wao huwa wanazipitia na wanajua leo atagusia nini.safi sana obama
 
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4

Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4

Hiv wabongo ss tuna nn jamn eti
bila ata aibu Tunahoj Kuhusu watoto
wa obama wanavyo tumia ziara za
baba yaokutembea Et wanasoma saa
ngap hiv hil ni swal kwel Eeeh ?
Unajua ss wabongo hatujui maana ya
likizo za shule wala likzo ya ofixn
unakuta shule zinafungwa kama hiv
badala ya wanafunz kusafir ili
walifesh mind zao una wakutta
wanatafuta Sehemu pa kusoma tena
etI Wanaitwa Tution Daaa kwel leo
nimeamini Tz Tupo Dunia ya
3 ...........
 
PONGEZI KWENU WOTE MLIOCHANGIA! :clap2: :clap2: :clap2: PUMBA AT ITS PICK!!!
 
Kwenye system ya Marekani shule za watoto zinafungwa mwisho wa May mpaka katikati ya Aug hivyo watoto wako likizo na ni watoto wote si wa Obama pekee
 
Ni
deep??!!!!
Nimeku
deep
mkuu.[/b]


hahahahaha tisha sana mkuu leo nimecheka sana deep hujui maana yake??? Ndo ulimbukeni kujifanya unajua kiingereza haya sasa umeumbukaaa
 
Achana naye anaona usa kama heaven. Mtu ukisema upo nje watu wanaaza kukudc.
 
Kama anaweza kusafiri na watu 700 atashindwa kutembea na walim wa watoto wake kweli.
 

hahahaha wape
 
Mi huyo aliyeko washington dc alafu anataka ADIPEEPIWE tu ndo kaniacha hoi. Kidhungu iz fire of dreaming far!
 

kwi kwi kwi .. muzee ya LIFLESHI TUTION
 
Wanatembea na walimua wao wote kwenye airforce 1! Unafkiri ni kama nyie wa kata lazma kuhuzuria chini ya miti!
 
elimu yao haupewi mtihani wa kitu ambacho hukijui maana hiyo sio Democracy. Sio kama ya Shukuru Kawambwa.
 
Yaani hao madogo wanaangalia speech moja tu ya babayao jioni then asubuhi wanapiga mtihani wa civics na social studies mphaaaya.....niulizeni mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…