othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Kukosa kazi, we kiazi nn, usiku wote huu unategemea nifanye kazi gani zaidi ya kuperuzi jukwaani.Baba yangu hawezi kulaumu eti kwanini P Diddy hajampa mimba J Lo, huko ni kukosa kazi kama sio utoto.
Hapa sijui umeandika nini!......akimfuga rapper bora dunia B.I.G NOTORIOUS...
Huyo huyoCassie yupi,yule mwimbaji wa wimbo wa Long Way To Go?
Akitokea mwamba akamfanyia binti yake aliyowafanyia wanawake aliozaa nao itamuuma sana
53
Baba tajiri lakini malaya
Watoto wake wamekulia kwenye familia ya kimalaya
Wamekosa mapenzi ya kifamilia ya baba na mama
Yeah sure akawa analia lia.KP aliporest ndio alijua umuhimu,
Yes yes!Cassie yupi,yule mwimbaji wa wimbo wa Long Way To Go?
I miss you too... tho hii ID sipo familiar nayo.Bint kiziwi miss u
Halafu ww uliyelelewa na wazazi wote wawili ni fukara wa kutishaBaba tajiri lakini malaya
Watoto wake wamekulia kwenye familia ya kimalaya
Wamekosa mapenzi ya kifamilia ya baba na mama
Huyo mrefu wa nyuma ni mtoto wa kufikia ambae mama yke alizaa na diddy watoto watatuMsanii maarufu na mwenye pesa zake ameweka post yake kuonesha watoto wake wote.View attachment 2552834
P.didy alikua anamiliki lebo inaitwa BADBOYS REC LABEL,Akamsaini BIGGIE(B.I.G)..Na mafanikio ya biggie small yameanza chini ya pddy...Hapa sijui umeandika nini!.
Sijakuelewa!!!
Kukufikia kwa kurudi nyuma Mkuu?Ana safari ndefu Sana kunifikia
Basi njoo kwangu binti kiziwi I hope ID yangu ni familiar kwako.I miss you too... tho hii ID sipo familiar nayo.