othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Kukosa kazi, we kiazi nn, usiku wote huu unategemea nifanye kazi gani zaidi ya kuperuzi jukwaani.Baba yangu hawezi kulaumu eti kwanini P Diddy hajampa mimba J Lo, huko ni kukosa kazi kama sio utoto.
Hujapewa homework na mwl. Ukamaliza ulale.