Watoto wa P Diddy

Watoto wa P Diddy

Hata hao wengine kapigwa tu hapo wakwake hawazidi watatu ahaaaa
Kwa wenzetu kuna kitu kinaitwa ku.adopt watoto, hapo watoto wawili amewaasili (adoption) which means ni watoto wake kabisa na wana haki kama watoto wa kuwazaa,

Adoption mtoto anakuwa na haki kama mtoto wako, kawa.adopt wakiwa bado ni wadogo under 5 yrs wamekulia maisha ya kibwanyenye...soma maana ya adaption utajua

Akitokea Diddy amekufa, watapata haki sawa na watoto wengine wa kuwazaa
 
Hata huku ipo sema ustawi wa jamii wana masharti magomu sana
 
Diddy ni Foster father wa Quincy sababu alimuadapt akamlea na KP hivyo ingawa hakumzaa ila anahesabika ni mwanae.
nadhani kuna tofauti ukiwa adopted na kulelewa na mama mzazi na baba wa kambo.

bro!
quincy ana baba yake yupo mpaka sasa nayeye ni msanii,mtunzi , producer (Al B Sure), na hilo jina alipewa kwasabbu yA LEGEND quincy JONES.

huyo quincy siyo adopted .
kusema tu Diddy ni good and nice step father
 
Back
Top Bottom