National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Ulikuwa unakula na wewe mzigo nini 😅😅Cassie yupi,yule mwimbaji wa wimbo wa Long Way To Go?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa unakula na wewe mzigo nini 😅😅Cassie yupi,yule mwimbaji wa wimbo wa Long Way To Go?
🤣🤣🤣🤣Diddy ni Rais wa wakataa ndoa, Kasie alivumilia akijua ataolewa mwisho akatoka nduki.
Hahahahahaha nimecheka baba ana watoto huyu sijui wamefika 12[emoji23]Mwenye picha ya watoto wa Nick Cannon tafadhali
Katisha sana 😀😀Hahahahahaha nimecheka baba ana watoto huyu sijui wamefika 12[emoji23]
Uzuri wanasema sio mchoyo wa child support ndo mana wanamzalia tu asubuhi na jioni
Wanafanana sana.Mi nilizani ndio Didy mwenyewe
Kwani zaidi ya kuzaa naomwaliwafanyia Nini kibaya? Halafu ukute hao wanawake walimfuata makusudi mnyama Ili wapate mbegu.Usifamasihara huenda SAS hivi wamama Wana enjoy sana.Akitokea mwamba akamfanyia binti yake aliyowafanyia wanawake aliozaa nao itamuuma sana
Umewasikia wakilalamika?Au sio[emoji16]
Wapo katika risky ya kufilisiwa na wasaka fursa kwahiyo ni bora wajiprotect kwa kukataa utapeli 😂Celebrities wengi wa kiume mbele ni team KATAA NDOA huwa hawaoi hao jamaa
Ni kuzalisha tu na manzi aliyezaa naye anakuwa anapewa child support
Ndio hivyo hata P diddy hao watoto ni mama tofauti,kila mkoanilioishi nimeacha mbeguau ndo kila mmoja kwa mama ake
Father abraham baba wa mataifa 😀😀Hahahahahaha nimecheka baba ana watoto huyu sijui wamefika 12[emoji23]
Uzuri wanasema sio mchoyo wa child support ndo mana wanamzalia tu asubuhi na jioni
Unaona! unaona mambo yako? 🤣🤣🤣 hapo ulitaka kusema ndio nani huko daslam!P.Diddy ni msanii wa kutoka nchi gani? wengine tunaishi huku Vijijini ndani ndani.
Hakuna wanawake washenzi na matapeli wa ndoa na mahusiano kama MarekaniWapo katika risky ya kufilisiwa na wasaka fursa kwahiyo ni bora wajiprotect kwa kukataa utapeli 😂
Big ndo alikuwa chawa wa DiddyUmkubali vip wakati kipindi hicho alikua chawa wa big
Huyo mweupeHuyo mrefu wa nyuma ni mtoto wa kufikia ambae mama yke alizaa na diddy watoto watatu
Naona mama wa watoto umeshakuja kueleza yupi ni yupi
Yule Bibie fala kweli alikuwa anapenda dushe za blacks ila hakutaka kuzaa na blacks asilani....Naona anazeeka ss, kitu ambacho namlaumu ni kutomtia mimba j.lo
Kale kadangaji kalikuwa kameweka mtego kaolewe halafu kazae kisha kaanze kudai child support.Diddy ni Rais wa wakataa ndoa, Kasie alivumilia akijua ataolewa mwisho akatoka nduki.
Wote watoto wake hao. Mimi ninawafahamu tokea wadogo. Ingia mtandaoni utawaona.Diddy ana watoto 6 tu huyo Mwingine Quincy nyuma siyo wake.
NdioCassie yupi,yule mwimbaji wa wimbo wa Long Way To Go?
Haiwezekani mwamba ana pesa sana watoto wake wanamaisha mazuri sana. Hawawezi kuteseka.Akitokea mwamba akamfanyia binti yake aliyowafanyia wanawake aliozaa nao itamuuma sana