Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mkuki huwa kwa kitimoto tu kwa binadamu mchungu
Umejuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje?
Umejuaje huo ni mkuki na si mpapaso tu?Mkuki huwa kwa kitimoto tu kwa binadamu mchungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule Bibie fala kweli alikuwa anapenda dushe za blacks ila hakutaka kuzaa na blacks asilani....
Kuna maneno alishawahi kutamka kuwa
'' Better having kids with Latin or white dude...not to a black one''
There after, akaja kuzaa na Mark Anthony wale mapacha....Max & Emme
Kwahyo mashoga wanakua mbadala wa wanawake kutegesha mimba mmmmh.Kale kadangaji kalikuwa kameweka mtego kaolewe halafu kazae kisha kaanze kudai child support.
50Cent anasumbuliwa sana. Marekani ukiwa na pesa usijekosea ukaoa. Wanasheria kali sana za kutetea wasimbe na mafeminists. Dawa ni kuwakalia mbali. Ndio maana jamaa wanatafuna mashoga zaidi maana hawawaletei mambo ya kutega mimba au kudai child support.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ajiweke tu wazi sisi hatuna tatizo nae, na aache kutuponda kwa kuhisi tunamzibia riziki.
Asijibane bane, nchi hii ilipata uhuru mwaka 1961 [emoji1787]
Biggie ndiyo alikuwa chawa wa Diddy, it's the other way around.Umkubali vip wakati kipindi hicho alikua chawa wa big
Hahaha! Ms kasie ventura habari zako JF tunazo 😅
Wawili mapachaMwanamke ambaye Diddy alimpenda ni Kim Porter. Alizaa naye watoto 3 kati ya hao kama sikosei
Kim Porter alikufa mwaka 2018, Diddy aliomboleza kifo chake miezi 3
Kwenye interviews zake huwa anamtaja sana jinsi anammiss na kumkumbuka
Hao akina J.Lo na Cassie ni zile tu tamaa zetu wanaume za kuonja onja mbususu tofauti tofauti
[emoji1787][emoji1][emoji1787][emoji1]et wasimbe na mafeministKale kadangaji kalikuwa kameweka mtego kaolewe halafu kazae kisha kaanze kudai child support.
50Cent anasumbuliwa sana. Marekani ukiwa na pesa usijekosea ukaoa. Wanasheria kali sana za kutetea wasimbe na mafeminists. Dawa ni kuwakalia mbali. Ndio maana jamaa wanatafuna mashoga zaidi maana hawawaletei mambo ya kutega mimba au kudai child support.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Hajafikisha
Kanye aliwahi kudate shoga?? Ni kipindi Gani? Kabla ya kuwa na Kim ama baada ya kuachanaKwahyo mashoga wanakua mbadala wa wanawake kutegesha mimba mmmmh.
Umenikumbushaa vanga la Kanye West na James Charles.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule shoga kibokoo kamchuna na kawekeza kwenye fashion.
Km sio mfuatiliaji huwezi elewa, kipindi yuko na Kim, alikua ana date nae kimya kimya, baada ya kumdump ndo james akaenda LGBT kushitaki, na case ilifka had UN, alilipishwa kimya kimya Kanye, but alikataa hakuwahi date nae.Kanye aliwahi kudate shoga?? Ni kipindi Gani? Kabla ya kuwa na Kim ama baada ya kuachana
UN isikilize case ya mtu kufirwa embu kawadanganye wapuuzi wenzako mkiwa mnafiranaKm sio mfuatiliaji huwezi elewa, kipindi yuko na Kim, alikua ana date nae kimya kimya, baada ya kumdump ndo james akaenda LGBT kushitaki, na case ilifka had UN, alilipishwa kimya kimya Kanye, but alikataa hakuwahi date nae.
James Akaamua kuwekeza kwenye fashion.
Huku akiendelea kupiga pesa kupitia publishing rights za Mase ambaye kila kukicha anapambana haki yake irudi mikononi mwake.Pamoja mkuu,tangu anamiliki badboy rec label huku akimfuga rapper bora dunia B.I.G NOTORIOUS...
Una habari UN kuna kitengo cha LGBT? na kuna wawakilishi huko? Na huyo James ni m1 wapooo.UN isikilize case ya mtu kufirwa embu kawadanganye wapuuzi wenzako mkiwa mnafirana
[emoji38][emoji38][emoji38]UN isikilize case ya mtu kufirwa embu kawadanganye wapuuzi wenzako mkiwa mnafirana
Watu hawajui ila wanabisha tu,hapo ukimuulza hata website za UN hazijui halafu analeta ujuaji.Una habari UN kuna kitengo cha LGBT? na kuna wawakilishi huko? Na huyo James ni m1 wapooo.
Nidanganye iwejee?? James mwenyewe hata humjui.
Mbna unateseka sana, kila comment angu lazima u reply, hujui kukataliwa wee. Poleeeeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mambo yamekuzidi akili.
Ni yeye mwenyewMi nilizani ndio Didy mwenyewe