Watoto wa P Diddy

Watoto wa P Diddy

Hahaha...ila alivoachwa Didy hakuamini yaani Cassie aliona akuu ya Nini miyee huyooo Kwa gym trainer wake na ndoa plus mimba juu
Sasa Cassie anamuachaje P. Diddy kwa mfano [emoji23][emoji23][emoji23]

Mtu kapiga mashine kwa miaka 10 halafu useme kamuacha. Wewe unajua P. Diddy anadate na nani kwa sasa?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kale kadangaji kalikuwa kameweka mtego kaolewe halafu kazae kisha kaanze kudai child support.

50Cent anasumbuliwa sana. Marekani ukiwa na pesa usijekosea ukaoa. Wanasheria kali sana za kutetea wasimbe na mafeminists. Dawa ni kuwakalia mbali. Ndio maana jamaa wanatafuna mashoga zaidi maana hawawaletei mambo ya kutega mimba au kudai child support.

Kwa mbali umewasifia mashoga na kuwaponda wanawake kwa kuwaita wasimbe/mafeminist. Ujumbe umefika

Haya wameshakumanya wenyewe......
 
Kwani kudate mda mrefu ndo mwanamke haachi,kaachwa Pdidy. Bwana haijalishi anadate na nani,ila Cassie ndo alitoka angetaka angekuwepo Mpk leo
 
Kale kadangaji kalikuwa kameweka mtego kaolewe halafu kazae kisha kaanze kudai child support.

50Cent anasumbuliwa sana. Marekani ukiwa na pesa usijekosea ukaoa. Wanasheria kali sana za kutetea wasimbe na mafeminists. Dawa ni kuwakalia mbali. Ndio maana jamaa wanatafuna mashoga zaidi maana hawawaletei mambo ya kutega mimba au kudai child support.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Zemanda kwani yule mshikaji aliyemuoa Cassie ana pesa Gani sasaa?!!afu mbona alikua nae mda ,sio Kila mdada mdangaji Demu alimpenda kweli mshikaji baasi tu
 
Kwa mbali umewasifia mashoga na kuwaponda wanawake kwa kuwaita wasimbe/mafeminist. Ujumbe umefika

Haya wameshakumanya wenyewe......
Bora umejionea mwenyeweee,
Kuna sehemu nilimshtukia na nikamchana live kabisa kua michongo yake sio, yaan anapondea Wanawake kichizi kumbe anafagilia pori lake[emoji1787]
 
Ajiweke tu wazi sisi hatuna tatizo nae, na aache kutuponda kwa kuhisi tunamzibia riziki.

Asijibane bane, nchi hii ilipata uhuru mwaka 1961 🤣
 
Back
Top Bottom