Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Hiyo ya break dance inanikumbusha sea view 'air India' , viwanja vya Gymkhana , magorofani Ohio, IPS Building na mitaa ya bunge in the 80' nawakumbuka kinda Nico scaba scuba, mpeni, chuche, Marlon, mzee Bachu, Abel siwale, Tom Nhigula, Joseph tungaraza, usungu 'Young Millionaire ' sijui hawa watu wako wapi !!!!!!
Karibia wote hapo na ile crew yao ambao wengine hawakutajwa hapo hawapo Bongo tena miaka mingi mno! Wapo zao duniani huko.. na waliopo hapa ni watu wazima sasa na familia zao mpaka wajukuu wanao na ni matajiri sana!... kama kina Scaba Scuba
 
Back
Top Bottom