Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Ndiyo, nawakumbusha tu. Kila siku utasikia Anko Shamte piga YOPE! Anko Shamte! Ankali wa Taifa! Yaani hadi unatamani kabisa kuoa single mama. Hii si kwa bahati mbaya, kijana anamkubali baba’ke wa kambo. Na hii ndiyo furaha na tulizo la mama’ke.
Sasa kuna hawa wengine, kuna muda hata salamu tu ni kama wanalazimishwa. Acheni hizo, mpende na kumtukuza baba wa kambo kwa heshima zote.
Nani hapendi kupiga YOPE?
Sasa kuna hawa wengine, kuna muda hata salamu tu ni kama wanalazimishwa. Acheni hizo, mpende na kumtukuza baba wa kambo kwa heshima zote.
Nani hapendi kupiga YOPE?