Watoto wa UVCCM watuachie chama chetu cha kutovumilia unafiki

Moshi wamekutana na hasira ya Mungu baada ya kushangilia kifo cha mwendazake.

Corona imechapa familia ya mbowe
 
Mijitu msio na akili na mijinga mijinga ndivyo mlivyo.
Sasa “mabeberu” wa Marekani waliokufa mpaka sasa kufikia laki sita ni wafuasi wa Mbowe?

Laanakum!
Corona ina jambo lake na ukoo wa nyumbu this time,kapake mafuta ukae mkao wa dozi.
 
Wale si UVCCM pasee bali ni baadhi ya nyumbu wa mwendazake wanaojaribu kuharibu hali ya hewa ndani ya CCM.

Nani asijejua kwamba jamaa alikuwa na matatizo ya akili?

Kwa taarifa yenu hampambani na Dialo, mnapambana na vigogo wa CCM wengi saana.
 
Mkuu sie CCM Asili tunajua kwamba huvyo vibaka vinatumika.
Na vigogo hao ni wale walioingizwa na Mwendazake kinyemela, virusi kama vya kina Bashiru na Polepole.
Mama Samia na akae chonjo , watamsumbua sana 2025.
 
😆😆😆😆
 
Haha..ww n ccm asili...mfyuuu...kwanza kwa jinsi unavyoandika uozoo huna hata sifa ya kuitwa mwana ccm..hakuna wajinga wa aina hii ccm..ww utakuwa wa saccos ya mboe pale hai kilimanjaro
 
Haha..ww n ccm asili...mfyuuu...kwanza kwa jinsi unavyoandika uozoo huna hata sifa ya kuitwa mwana ccm..hakuna wajinga wa aina hii ccm..ww utakuwa wa saccos ya mboe pale hai kilimanjaro
Sina kibali cha kuwajibu watu wajinga wajinga!
Nenda kwa amani.
 
Kwanini wewe hukumkosoa pale alipokwepa kodi ya zaid ya 2bilions? Kwanini hukutoka na kumtaka aache ushenzi huo? Wewe nae ni hewa tu na hatuwataki ndani ya chama.
Enzi zile ukimkosoa malaika adhabu yake kifo.Diallo yupo sahihi japo amechelewa kutoa maoni yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…