cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kingine utaamua wee,Kingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingine utaamua wee,Kingine?
KabisaaaaaMadam Kama Hizi ndo Zinachochea Ushoga.
Mshana Jr. Unachukizwa Kama Mimi Ila thread Kama Hizi Zina promote sana ni bora kukaa kimya tu.
Mark my words.
Moto wa MUNGU ni wa kuuchimbia handaki mkuu, kwamba ujifiche au.?? LolDaah sipati picha sodoma na ghomorrah janga lake Yan Moto unatoka juu kuja chini...
Tuchimbe mahandaki wakuu[emoji120]
Tunasubiria tetemeko la nchi kwanza!
Binafsi sipendi msanii yeyote anihamasishe mimi wala watoto wangu kwa sababu siwachukulii serious na wengi wao pia wanaliwa mikundu, si wanawake si wanaume. Sasa mtu wa namna hii atawafundisha nini wanangu?Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa. Kizazi kijacho kiko mashakani
Wasanii wetu ni role models wa vijana wetu. Vijana wetu, watoto wetu hutamani, huwa na ndoto za kuwa kama fulani, kuna hatari kubwa sana kupotosha na kupoteza wengi kama msanii ama mtu maarufuvakiongea kitu
Hapo mwanzo tulizoea vijana barobaro wakijitangaza mitandaoni kuwa wao ni mashoga..haikuwa mbaya sana kwakuwa hawakujulikana na wengi. Leo hii anjitokeza kijana wa kiume wa msanii maarufu anajitangaza hadharani kuwa yeye ni shoga ana anajivunia (ushoga[emoji24]). Huyu ana followers wangapi Yarab toba!
Kipenga cha kujitangaza live kimepulizwa rasmi Tanzania, viongozi wanapiga kimya kama hawaoni.. Tunapoteza kizazi kijacho.
Ushoga umetamalaki nchini lakini mamlaka hazina nguvu hata chembe ya kukemea.. Madhara ya kukubali mikopo na misaada yenye masharti kificho.
Lifestyle wanayowalea na kuwakuza watoto wao hawa tunaowaita wasanii maarufu Tanzania ni janga kubwa.. Hafundishwi kuwa wanaume kamili hawafundishwi ukakamavu.. Wanalelewa kuwa wanaume wa kike ama wanawake wa kiume... Wengi wakilelewa na mzazi mmoja.
Hakuna wa kukemea zaidi ya sisi wapiga kelele mitandaoni. Tuhamasishane sisi wazazi wa huku kuwalinda vijana wetu, tuongee nao tuwe nao karibu tuwachunguze kwa karibu mienendo yao, marafiki zao n.k
Tunataka nasi tuache mbegu itakayomea na kuendeleza kizazi. Tupunguze harakati za kimaisha tutenge muda wa kutosha kuwa na vijana wetu. Hali ni mbaya sana.
Kampeni ya kataa ndoa ni kampeni ya kishenzi, isipewe nafasi haina malengo mazuri kwa maisha ya kesho na wengi wameivamia kwa ujuaji tu wa kitoto. Hawajui matokeo yake!
Madhara ya hii kampeni ikiachwa imee yataonekana soon. Huko mavyuoni hali ya ushoga na usagaji ni mbaya sana huko kwenye mitandao ya kijamii ndio usiseme.
Kijana anamaliza chuo ni msagaji, kijana anamaliza chuo ni shoga! Kuna familia tena hapo? Kuna ndoa tena hapo? Kuna future tena hapo?
Kama mtoto wa Monalisa kajitangaza akamewe wazi na awe ni wa mwisho. Hili likiachwa janga kubwa linakuja. Zamani tuhuma za aibu za ushoga zilikuwa maeneo ya mwambao. Siku hizi mpaka chuga ni kama fasheni
Inauma sana!
Brother zile videos zinachefuaWasanii wengi bongo wanaambatana na mashoga
Mashoga na wasani ni Pete na kidole
Ova