Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Madam Kama Hizi ndo Zinachochea Ushoga.



Mshana Jr. Unachukizwa Kama Mimi Ila thread Kama Hizi Zina promote sana ni bora kukaa kimya tu.


Mark my words.
Kabisaaaaa
 
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Daah sipati picha sodoma na ghomorrah janga lake Yan Moto unatoka juu kuja chini...
Tuchimbe mahandaki wakuu[emoji120]
Tunasubiria tetemeko la nchi kwanza!
Moto wa MUNGU ni wa kuuchimbia handaki mkuu, kwamba ujifiche au.?? Lol

Toba pekee ndio itakuponya na ghadhabu!!!!
 
Binafsi sipendi msanii yeyote anihamasishe mimi wala watoto wangu kwa sababu siwachukulii serious na wengi wao pia wanaliwa mikundu, si wanawake si wanaume. Sasa mtu wa namna hii atawafundisha nini wanangu?
 
Wasanii wengi bongo wanaambatana na mashoga
Mashoga na wasani ni Pete na kidole

Ova
 
Wasanii wengi bongo wanaambatana na mashoga
Mashoga na wasani ni Pete na kidole

Ova
Brother zile videos zinachefua

Leo nduguzangu nipo ujerumani Munich hii ndio hali ulaya yote wana andamana kupigania haki za usagaji na ushoga

Cha ajabu nimewakukuta dadazetu wa tanzania [emoji1241] na bendera ya nchi wana andamana kutaka haki za usagaji na ushoga nimerekodi mwenyewe hizi muone hali ilivyo nihatari ndugu zangu sijuwi tunaendawapi kwa wazungu sikushtuka sana kilicho nishtuwa kuina dada zetu wanyumbani wamo ktk kuandamana kutupinga

CnP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…