Watoto wa Wasira waliojiunga CHADEMA watoa ufafanuzi juu ya uhusiano wao na Waziri Wasira

Watoto wa Wasira waliojiunga CHADEMA watoa ufafanuzi juu ya uhusiano wao na Waziri Wasira

Cha msingi watoto ni wa kaka ya Stevin na kikubwa zaidi m4c inakaribisha watu wote wapenda mabadiliko bila kujali kama wametoka familia gani,kuhusu vyeo ukiwajibika ipasavyo unapewa ukiboronga unawekwa pembeni ndio sera ya m4c
 
Tatizo waandishi wetu wa habari weledi hautumiki kabisa, sana ni ushabiki tu hadi inafika mahali wanaharibu hata kama walikuwa na nia ya kupamba kitu kikubalike chumvi zinakuwa nyingi kisa tu wauze. Ili kuondokana na huo mfumo ifike mahali magazeti yawe ya bure kama Uingereza hivi, hizi projo zitaisha na watu wataandika vitu vya maana ili kupata wafadhili wa kazi zao.
 
Mbona waandizi hawana tatizo jamani...
 
Ana roho mbaya stephen wassira. Utawakanaje watoto wako?? watoto wa kaka yako??? what a shame....Kwa kweli huyu amekuwa kiongozi kwa bahati mbaya
 
Ana roho mbaya stephen wassira. Utawakanaje watoto wako?? watoto wa kaka yako??? what a shame....Kwa kweli huyu amekuwa kiongozi kwa bahati mbaya
Analinda maslahi yake tu at any cost
 
Mi nauliza tu, hivi hawa mabinti wameolewa??? Karibuni chamani tunaamini mtapambana kama baba yenu wa kweli Mzee G. Wasira sio lile boga S. Wasira
 
kama umri wao unaruhusu kugombea ningeshauri mmoja wao agombee jimbo la steven wasira'yule mzee anatakiwa kupotea katika ulimwengu wa siasa

Wewe acha kuchukia nyara ya serikali!! ha ha
 
Every man/woman has the right to determine his/her destiny and on this judgement there is no partiality brother Wasira.Uncle Wasira we gotta fight our liitle struggle to overcome our little trouble.
 
Mzee Wassira Steven naye kumbe hayuko sawa.Kwani kuna ubaya gani hata kama ingekuwa ni watoto wake wakuwazaa kujiunga na chama cha upinzani?ndiyo anataka kusema kuwa watoto wake wanalazimika kuwa wana ccm eti kisa baba yao ni mwana ccm? mbona ananidhamu ya uoga hivyo kwa ccm,inamaana aliogopa kukiri kuwa ni wanae kisa chama?unamaana kuwa angesema kuwa ni wanae wangemvua uana chama?mbona wale ni watu wazima wenye uwezo wa kuamua mambo kwa utashi wao?
 
Akina Wasira wapo wengi,ila Stiven wasira yupo mmoja. Hivyo huwezi kutaja wasira bila kufafanua Wasira gani.

Salma Kikwete dhaifu akisema "Mtoto wa mwenzio ni wako" mnakubali, lakini mnakataa "Mtoto wa kaka yako siyo wako"!. Mnaonyesha UNAFIKI wa hali ya chini kabisa!
 
Back
Top Bottom