DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Takwimu hizo ni za Shirika la Umoja wa Mataifa Linalohudumia Watoto na Wanawake (UNICEF) za mwaka 2018.
Mratibu wa Afya ya Watoto, Dkt. Felix Mabula amesema 80% ya vifo inatokana na shida ya kupumua, kuzaliwa njiti na kupata maambukizi (infections) mara baada ya kuzaliwa.
Naye, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dkt. Joseph Tarimo amesema kukabiliana na hali hiyo wanaboresha uwezo wa kutoa huduma, kwa sasa wakiwa na uwezo wa kuhudumiwa Watoto wachanga 24 hadi 74 kwa wakati mmoja hospitalini hapo.