Watoto wakutwa wakisafiri chini ya basi kutoka Bukoba - Mwanza

Watoto wakutwa wakisafiri chini ya basi kutoka Bukoba - Mwanza

Hawa ni makomandoo! Serikali inasubiri nini isiwapokee kwenye Jeshi la Wananchi na kuwapa mafunzo zaidi? Mtu unasafiri kilometer 200 chini ya basi linakwenda 120km/h umejishika na springi utashindwa nini vitani?
Naunga mkono hoja.
Jeshini wasiende watu mayai mayai.
Watu lainilaini mdebwedo.
 
Hawa wapelekwe wakasomee ujasusi watakuja kulisaidia Taifa

Hivi hizo mbinu wanapewa na nani na wana practice nyakati gani
Mbona hawa cha utoto,vipi wale wanaosafiri juu ya mabehewa ya treni,vipi wale waozama ndani ya matenki ya oil kwenye engine room ya meli na wanatoboa hadi ulaya.
Hio kilometer 200 tu chini ya chassis hata wewe unaweza.
 
Hawa ni makomandoo! Serikali inasubiri nini isiwapokee kwenye Jeshi la Wananchi na kuwapa mafunzo zaidi? Mtu unasafiri kilometer 200 chini ya basi linakwenda 120km/h umejishika na springi utashindwa nini vitani?
Ningekuwa mimi ndio dereva, ningewapakiza ndani ili wamalizie safari yao. Binafsi imenigusa sana ujasiri waliokuwa nao hao madogo...
 
Kuna wengine walikutwa kwenye basi la Mbeya kwenda dsm, na Hawa watoto wanapiga safari mara kwa mara
 
Hawa ni makomandoo! Serikali inasubiri nini isiwapokee kwenye Jeshi la Wananchi na kuwapa mafunzo zaidi? Mtu unasafiri kilometer 200 chini ya basi linakwenda 120km/h umejishika na springi utashindwa nini vitani?
Kabisa yaan
 
Sure sure mkuu kumbe tuko pamoja Ni wanaume wasioongozwa na fear of death which is the greatest and highest fear for human being. Sijui wanipe mmoja jamani. Huwa napenda mno vijana Kama Hawa. Unakumbuka wale waliokaa kwa meli sijui sehemu gani mpaka ulaya kwa siku 11 majini na Kuna mkenya mmoja Alibana kwa tairi la ndege mpaka Amsterdam
 
Hawa ni makomandoo! Serikali inasubiri nini isiwapokee kwenye Jeshi la Wananchi na kuwapa mafunzo zaidi? Mtu unasafiri kilometer 200 chini ya basi linakwenda 120km/h umejishika na springi utashindwa nini vitani?
Umenikumbusha American Ninja ya Michael Dudikof. Ile scene yuko chini ya uvungu wa gari. Ni movie, lakini hawa watoto wamefanya kweli. Hatari sana aisee!
 
Hawa watoto nadhani wapewe special treatment. Kuna yule jamaa ufaransa aliokoa mtt kwenye ghorofa akapewa kazi Zima Moto. Baadaye Mali nchi take ndio wanajifanya na wao kumpa kazi jeshini na huku Kuna viajan kibao wapo mtaani

Yaani Hawa watoto nadhani wangekiwa USA wangepewa kitengo kikubwa mno. Mfano kamata jambazi sugu mpe kazi ya kitengo Cha kudhibiti ujambazi mpe salary nzuri,nyumba nzuri na v8 ukisikia wizi mfukuze kazi. Kwa Mana anajua mbinu zao
 
Mtegenezee uwezo wa kutafuta kitu. Sio kumuachia kitu.
Teach him/her how to fish
Hujamuelewa mtoa mada, anamaanisha labda mtoto ana miaka kumi ndo unaondoka duniani, je hapo utakuwa umemfundisha nini? Ila ukimwachia mali na kuna wasimamizi wazuri ataishi vizuri hata bila ya kuwepo wewe. Usione watu wanajilimbikizia mali kwa fujo sio wajinga wanaangalia ya mbele sana.
 
Back
Top Bottom