Watoto wakutwa wakisafiri chini ya basi kutoka Bukoba - Mwanza

Kanda ya ziwa bwana kwa vituko vya kijinga hawajambo.....kama si Wahaya basi Wasukuma au ndugu zao Wakurya.
 
Maisha bora kwa kila mtanzania

Chama cha mapinduzi oyeee
 
Endapo SEAL(sea, air and land army) hawajatamka kitu kuhusu Hawa watoto usemavyo mkuu, wanakosea. Kigamboni hapo navy wanasomesha watoto wa maskini hewa ...makamanda kama Hawa wasichukuliwe .....wawachukue wawalee maana wameonesha uthubutu
Sure
 
Hivi huko chini hakuna joto za vyuma kuchemka
 
Kwani polisi wanaokagua magari kabla ya kuondoka huwa wanafanya nini
 
Kwani polisi wanaokagua magari kabla ya kuondoka huwa wanafanya nini
Itakuwa kuna mabasi hayakaguliwi kabisa na hao watoto watakuwa na taarifa za kutosha kwamba basi fulani halikaguliwi, pia ukishazamia uhakika wa safari ni 100% coz hakuna uwezekano wa kuharibika hadi mafundi waanze kukagua chasis.
 
Wenyewe wanasema hawakukusudia kupanda gari bure, walikuwa wanatafuta kumbi kumbi na wakajisahau. Kushituka wakakuta gari iko barabarani tayari ikiwa speed hivyo wakashindwa kutoka kule chini.
 
Hawa ni makomandoo! Serikali inasubiri nini isiwapokee kwenye Jeshi la Wananchi na kuwapa mafunzo zaidi? Mtu unasafiri kilometer 200 chini ya basi linakwenda 120km/h umejishika na springi utashindwa nini vitani?

Kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…