Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Umaskini ni laanaUmasikini nijanga nahua wanazaa ili kupata ahueni ili nawao wapate kitu chakukionea mana hana mwingine wakumuonea
Mtoto wa Mr. Kasongo 🤣🤣🤣🤣mtoto wa ngiri ( kasongo).
😂😂
Kasongo ana-trend bila accountMtoto wa Mr. Kasongo 🤣🤣🤣🤣
East Afrika hii hakuna mpuuzi ansyetrend kuliko Mr. Kasongo turbo engine v18Kasongo ana-trend bila account
Ukiwa masikini jitihadi kuzingatia sana uzazi wa mpango
Kinachosikitisha wengi ni maskini ila hawajijui kutwa kuwasema wenzao humu JF. Maskini this maskini that. Pumbavu!Tafsiri ya fukara na asiye na kipato ,mfano kipofu au mlemavu.Na Tafisir ya maskini ni mtu mwenye kipato ila hakitoshi mahitaji ya msingi. Hapa robo 3 ya dunia ndipo tulipo.Kama kaweza kujenga huyo si maskini. Kuna maboss kibao wakikosa tenda au kuudhiwa hutukana wafanyakazi hovyo. Tunaita hali ya kushindwa kudhibiti hisia, haina uhusiani na kipato. wenye hali hii ndo wanatoka wengi wanaojinyonga na kuacha utajiri ,n.k
uelewa mkuu.Tajiri ni yule anayeweza pata mahitaji ya mwaka mzima hata ikitokea kapoteza uwezo wa kufanya kazi.Kinachosikitisha wengi ni maskini ila hawajijui kutwa kuwasema wenzao humu JF. Maskini this maskini that. Pumbavu!
sijawahi kuona maskini ana hasira, anampiga mwanae au wanagombana na maskini wenzao na nadhani kwasababu ya kuridhika na umaskini wao wanakua na amani sana, ndiyo maana huzaliana sana tena salama bila hata kwenda hospital 🐒Kuna vitu hutakiwi kushawishiwa ili uamini.
Maskini mmoja jirani yetu kujenga nyumba lakini ana deni la bati pia fundi mjenzi hajammalizia fedha yake.
Basi terehe 15 October ya 2024, wiki iliyopita ni kama walipatikana waje kudai kwa pamoja.
Baba huyu maskini hakuwa na cha kuwapa zaidi ya maneno. Wakati mazungumzo mbele ya mjumbe yakiendelea mmoja wa watoto wake binti wa darasa la kwanza alimwendea baba yake kwa furaha "baba, baba , baba" duuuuh maskini alimpa kipigo huyu mtoto innocent utafhani anapiga mtoto wa ngiri ( kasongo).
Nikaja kuprove na kusema tena kuwa mzazi anayedunda mtoto aidha ni kichaa au maisha yamemtandika.
Huwezi kumpiga mtoto wako ukiwa normal kichwani. Never
Ukweli mtupu. Kimbia umaskini kwa nguvu zote.Kuna vitu hutakiwi kushawishiwa ili uamini.