Watoto waliozaliwa katika familia maskini wanapata taabu sana. Mzazi maskini hasira zake anamalizia kwa watoto

Watoto waliozaliwa katika familia maskini wanapata taabu sana. Mzazi maskini hasira zake anamalizia kwa watoto

Uende uswazi sasa, mama kavurugwa na mikopo ya nyonya damu alafu mtoto amletee za kuleta ataoga kipigo, na mitusi ya nguoni juu kama anamtukana mtu mzima mwenziwe, mpaka huwa najiuliza hawa viumbe wasio na hatia mmewazalia nini? Shame.
Umaskini mbaya sana
 
Hali ya umasikini hutengeneza msongo wa mawazo. Msongo wa mawazo hujionyesha katika matendo mbalimbali yanayofanana na hayo. Elimu ya maisha na elimu ya fedha ni muhimu kupunguza changamoto hizi.
 
Back
Top Bottom