Uende uswazi sasa, mama kavurugwa na mikopo ya nyonya damu alafu mtoto amletee za kuleta ataoga kipigo, na mitusi ya nguoni juu kama anamtukana mtu mzima mwenziwe, mpaka huwa najiuliza hawa viumbe wasio na hatia mmewazalia nini? Shame.
Hali ya umasikini hutengeneza msongo wa mawazo. Msongo wa mawazo hujionyesha katika matendo mbalimbali yanayofanana na hayo. Elimu ya maisha na elimu ya fedha ni muhimu kupunguza changamoto hizi.