Watoto wameshalala na mechi imeisha ⚽ - njooni hapa tuzogoe!

Essi jau kweli 😹😹
Na ile alivyomwambia akojoe mbele ya gari taa zimmulike 😹😹

Mwamba akashuka akaenda kuibanjua hivyo hivyo na mikojo..!! 😹😹
Yani Jonasi ni mwanaume wa hovyo jamani, ila Essi alizidi ujinga!
 
Yani Jonasi ni mwanaume wa hovyo jamani, ila Essi alizidi ujinga!
Matipa katoka kujifungua kaambiwa ashike mic atume salamu 😹😹😹

Wakati huo mama yake yupo sitting room Jonas yuko kitchen anapigwa blow job 😹😹

Jonasi hakuna alichoacha aiseee..!!

Joyce alivyomnyima papa kachukua lotion kapiga nyeto mbele ya mkewe khaaaaa..!! 😹😹
 
Imagine unatoka kazini kutafuta chochote kitu kwa ajili yenu alafu mtu baada ya kukulaki anasema unanuka jua kweli

Hivi jua linaharufu gani ninyi wanawake?
 
Sa ingekua vp ma mkwee kuona mwanae analambishwa lolo
 
Eti madai yake anang’atwa ili nijae kwenye mfumo 😹😹

Simtaki ataning’ang’ania akinionja mi sina kazi mbovu..!! πŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ
Hicho ndiyo kitakachotokea na mpwa wangu namjua bado anajitafuta, hatakumudu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…