Watoto wameshalala na mechi imeisha ⚽ - njooni hapa tuzogoe!

Watoto wameshalala na mechi imeisha ⚽ - njooni hapa tuzogoe!

Huyu kumbe ni tapeli nilidhani ametulia aisee🤣🤣🤣
Au ujaribu kumbadilisha🫢
Na uzee huu, gume gume lililomshinda mtume mi nitaliwezea wapi 😂

The Rock Eye Roll GIF.gif
 
Siyo kila wakati ila najua angalau mara 8 kati ya 10 nikikazwa vizuri lazima nilale 😂
Lazima upate usingizi hasa kama mjomba wa mabuti ashalipia ada za watoto na wanajiandaa kwenda shule basi siku wameondoka lazima kuanzia seblen mpaka chumbani
 
Lazima upate usingizi hasa kama mjomba wa mabuti ashalipia ada za watoto na wanajiandaa kwenda shule basi siku wameondoka lazima kuanzia seblen mpaka chumbani
Ewaaaaahhhh, hadi mlinzi huwa tunampa off.
Ni kukulana tu 😂
 
Back
Top Bottom