Watoto wameshalala na mechi imeisha ⚽ - njooni hapa tuzogoe!

Siyo kila wakati ila najua angalau mara 8 kati ya 10 nikikazwa vizuri lazima nilale 😂
Lazima upate usingizi hasa kama mjomba wa mabuti ashalipia ada za watoto na wanajiandaa kwenda shule basi siku wameondoka lazima kuanzia seblen mpaka chumbani
 
Lazima upate usingizi hasa kama mjomba wa mabuti ashalipia ada za watoto na wanajiandaa kwenda shule basi siku wameondoka lazima kuanzia seblen mpaka chumbani
Ewaaaaahhhh, hadi mlinzi huwa tunampa off.
Ni kukulana tu 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…