Habari za wakati wakuu, nimejikuta najiuliza hili swali, kwanini nature iko katili saana kwa wanaume? Yaani watoto wanajua madhaifu ya baba ila hawajui dhaifu la mama hata Moja,
Wanaume hatujajaliwa kuongea saana, na hata ukiongea kwa watoto madhaifu ya mama yao itakusaidia ninii?
Kuish na Hawa viumbe ni ngumu, kuish bila wao ni ngumu pia, chagua ugumu unaoupenda,
Mlale unonoo