Kweli kabisa na utajua yale uliyokuwa unayasikia kuwa ni uongo.Unavyozidi kukua, ndivyo utakavyo zaidi kumsamehe baba yako.
Kweli kabisa mkuu madhaifu ya mama huwa unayaelewa ukishakuwa mtu mzima ukiwa mtoto ni nadra sana kuyajua.Habari za wakati wakuu, nimejikuta najiuliza hili swali, kwanini nature iko katili saana kwa wanaume? Yaani watoto wanajua madhaifu ya baba ila hawajui dhaifu la mama hata Moja,
Wanaume hatujajaliwa kuongea saana, na hata ukiongea kwa watoto madhaifu ya mama yao itakusaidia ninii?
Kuish na Hawa viumbe ni ngumu, kuish bila wao ni ngumu pia, chagua ugumu unaoupenda,
Mlale unonoo
Habari za wakati wakuu, nimejikuta najiuliza hili swali, kwanini nature iko katili saana kwa wanaume? Yaani watoto wanajua madhaifu ya baba ila hawajui dhaifu la mama hata Moja,
Wanaume hatujajaliwa kuongea saana, na hata ukiongea kwa watoto madhaifu ya mama yao itakusaidia ninii?
Kuish na Hawa viumbe ni ngumu, kuish bila wao ni ngumu pia, chagua ugumu unaoupenda,
Mlale unonoo
Kimya kinaua kimya kimya, wanaume nasisi tuaze kusema Ili kupunguza idad ya wajaneHata kuanzisha uzi kama huu ni Udhaifu , Mwanaume ushajishushia hadhi...!
Piga kimya tu
Watakuelewa tu huko mbeleni...
Hii dunia ishi ukijua uko peke yako na andaa kesho yako kwaajili yako. Fannya kila kitu kwa watoto na familia ila usisahau kuwa na mpango mahususi wako binafs baada ya miaka 60. Na usikae na mkeo miezi 3 sehem bila kutoka kwenda pengine na kurud. Mwanamke anatakiwa kutaman kukuona sio muda wote uko nae.Habari za wakati wakuu, nimejikuta najiuliza hili swali, kwanini nature iko katili saana kwa wanaume? Yaani watoto wanajua madhaifu ya baba ila hawajui dhaifu la mama hata Moja,
Wanaume hatujajaliwa kuongea saana, na hata ukiongea kwa watoto madhaifu ya mama yao itakusaidia ninii?
Kuish na Hawa viumbe ni ngumu, kuish bila wao ni ngumu pia, chagua ugumu unaoupenda,
Mlale unonoo
Noted with thank chiefHii dunia ishi ukijua uko peke yako na andaa kesho yako kwaajili yako. Fannya kila kitu kwa watoto na familia ila usisahau kuwa na mpango mahususi wako binafs baada ya miaka 60. Na usikae na mkeo miezi 3 sehem bila kutoka kwenda pengine na kurud. Mwanamke anatakiwa kutaman kukuona sio muda wote uko nae.
Kweli kabisa mkuu madhaifu ya mama huwa unayaelewa ukishakuwa mtu mzima ukiwa mtoto ni nadra sana kuyajua.
I know this by experience.
Unavyozidi kukua, ndivyo utakavyo zaidi kumsamehe baba yako.