Watoto wanazurula Saranga, njoeni huku wajeshi wetu

Watoto wanazurula Saranga, njoeni huku wajeshi wetu

Mawematatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
468
Reaction score
608
Hawa wanaelekea kuwa panya.

Watoto wengi wavuta bangi wamejaa maeneo ya Saranga. Tafadhali tusaidiani.

Mbinu ya kuwakamata wazazi wao ni safi Sana. Inavyoonekana wazazi wao wanamazoea. Huku bangi inavutwa mchana kweupee, njoeni huku wajeshi wetu
 
Hawa wanaelekea kuwa panya.

Watoto wengi wavuta bangi wamejaa maeneo ya saranga. Tafadhali tusaidiani.

Mbinu ya kuwakamata wazazi wao ni safi Sana. Inavyoonekana wazazi wao wanamazea. Huku bangi inavutwa mchana kweupee, njoeni huku wajeshi wetu
Hiyo Saranga ipo Nigeria au Kongo?
 
Hiyo Saranga ipo Nigeria au Kongo?

Screenshot_20220508-065748.jpg
 
Umaskini unafanya mabaya sana yaani hata malezi kuna muda yanapelekea kupungua
 
Back
Top Bottom