Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
Iko wapi hiyo Saranga na mmechukua hatua gani?Hawa wanaelekea kuwa panya.
Watoto wengi wavuta bangi wamejaa maeneo ya saranga. Tafadhali tusaidiani
Hiyo Saranga ipo Nigeria au Kongo?Hawa wanaelekea kuwa panya.
Watoto wengi wavuta bangi wamejaa maeneo ya saranga. Tafadhali tusaidiani.
Mbinu ya kuwakamata wazazi wao ni safi Sana. Inavyoonekana wazazi wao wanamazea. Huku bangi inavutwa mchana kweupee, njoeni huku wajeshi wetu
Sarangaroad na vichaka vyakeiko wapi hiyo saranga na mmechukua hatua gani
Nielekeze nije kufanya ambush
Wazazi ndio shidaBakora hamna hapo!
Nenda kitambaa cheupeNilivyokimbilia kusoma nikajua unamaanisha pisi kali