Bado kipindi cha uchumba 🤔Hatari sana umewaza kama mimi...huyu baba ahojiwe vizuri..maana ukitoa muda wa mimba kukua automatically aliolewa na miaka 12
Bado kipindi cha uchumba 🤔Hatari sana umewaza kama mimi...huyu baba ahojiwe vizuri..maana ukitoa muda wa mimba kukua automatically aliolewa na miaka 12
Hatari sana umewaza kama mimi...huyu baba ahojiwe vizuri..maana ukitoa muda wa mimba kukua automatically aliolewa na miaka 12
Umeniwahi, huyo Binti kakuzwa ndoani yaani miaka 13 tayar kazaa Ina maana pengine aliolewa akiwa na miaka 10-12 .Pole zao sana,... Mtoto mkubwa ana miaka 7 huku mama ana miaka 20😤
Kwahiyo aliolewa na miaka 13