Watoto wawili wafariki baada ya kusombwa na mafuriko

Watoto wawili wafariki baada ya kusombwa na mafuriko

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Watoto wawili wamefariki katika matukio mawili tofauti nchini Kenya baada ya kusombwa na mafuriko katika maeneo yaliyoathiriwa na mvua.

Mmoja wa wahanga hao ni pamoja na mvulana wa miaka 13 aliyefariki katika kaunti ya Homa Bay baada ya mtumbwi aliokuwa akisafiria kupigwa na mawimbi mazito.

Kijana huyo mwanafunzi wa shule ya msingi alikuwa ni mmoja kati ya watu watano katika boti waliokuwa wakivukia mto uliofurika katika kijiji cha Manyuru.

Mtoto mwingine mwenye umri wa miaka 13 amefariki baada ya kusombwa na maji katika Mto Migori katika kaunti ya Migori ambapo mvua Kali zimewasababisha wakazi kutafuta hifadhi katika nyumba za ibada.

======

Residents of two villages in Nyanza region were yesterday searching for the bodies of two minors who drowned while trying to cross flooded rivers as heavy rains continue to pound parts of the country.

One of the minors, a 13-year-old boy in Homa Bay County, died after a boat he was travelling in was hit by strong waves.

The Radienya Primary School pupil was among five occupants of the boat which they were using to cross a flooded section of River Kuja in Manyuru Village, West Kabuoch location, Ndhiwa Sub-county, on Tuesday evening.

SEARCH FOR BODY

Area chief Joseph Ogur said the boy could not swim when the boat was hit by waves, but the other occupants swam to safety.

By Wednesday afternoon, the teenager’s body had not been found, with locals calling on the government to help them in the search.

The second minor died in Nyatike, Migori Count, where floods have swept through villages, rendering tens of families homeless. Many victims are seeking refuge in churches and at chiefs camps.

The 13-year-old boy was swept away by the raging waters of River Migori. The search for his body entered the third day Wednesday.

And in Siaya County, an MP was among flood victims counting losses after floods swept away his fish ponds worth Sh3 million.

Bondo MP Gideon Ochanda and other residents had their acres of farmland and grazing fields in Usigu division submerged. In East Gem ward, the Ramula-Bar-Kalare Road was rendered impassable after a bridge was swept away on Sunday.

In western region, waterlogged sugar cane fields and damaged feeder roads disrupted milling as factories grappled with shortage of raw material in their catchments.
 
Wakazi wa vijiji viwili katika mkoa wa Nyanza jana walikuwa kwenye hekaheka ya kutafuta miili ya watoto wawili ambao walisombwa na maji ya mito iliyojaa kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kali zinazoendelea katika maeneo hayo.

Inaelezwa kuwa mmoja wa watoto hao alikuwa ni mvulana wa miaka 13 anayetokea katika Kaunti ya Homa Bay, alikufa baada ya boti aliyokuwa akisafiria kupinduka baada ya kugongwa na wimbi kali.

aidha, taarifa zinaeleza kuwa Mwanafunzi huyo wa Shule ya Msingi ya Radienya alikuwa ni mmoja kati ya watu watu watano waliokuwa katika boti iliyopata ajali boti hiyo ambayo walikuwa wakiitumia katika kuvuka sehemu mto iliyofurik katika Kijiji cha Manyuru.

Kiongozi wa kijiji hicho Bw. Joseph Ogur anafafanua kuwa katika ajali hiyo ya boti kijana huyo hakuweza kuogelea hivyo akasombwa na maji wakati watu wengine waliokuwapo katika boti hiyo walifanikiwa kujiokoa.

hadi kufikia Jumatano alasiri, mwili wa kijana huyo ulikuwa haujapatikana, huku Wakaazi wakiiomba serikali kuwasaidia katika zoezi hilo la utafutaji wa mwili.

Sambamba na hilo, taarifa zinaeleza kuwa Mtoto wa pili alikufa katika kijiji cha Nyatike, ambako pia mafuriko yalifika na kuleta athari mbalimbali kwa wakazi wa eneo hilo.

Inaelezwa kuwa Mtoto huyo wa miaka 13 alisombwa na maji ya mto wa Migori, na mpaka kufikia jumatano ilikuwa ni siku tatu mwili wa mtoto huyo haukupatikana.

1575517571434.png

For English audiance,
Residents of two villages in Nyanza region were yesterday searching for the bodies of two minors who drowned while trying to cross flooded rivers as heavy rains continue to pound parts of the country.

One of the minors, a 13-year-old boy in Homa Bay County, died after a boat he was travelling in was hit by strong waves.

The Radienya Primary School pupil was among five occupants of the boat which they were using to cross a flooded section of River Kuja in Manyuru Village, West Kabuoch location, Ndhiwa Sub-county, on Tuesday evening.

Area chief Joseph Ogur said the boy could not swim when the boat was hit by waves, but the other occupants swam to safety.

By Wednesday afternoon, the teenager’s body had not been found, with locals calling on the government to help them in the search.

The second minor died in Nyatike, Migori Count, where floods have swept through villages, rendering tens of families homeless. Many victims are seeking refuge in churches and at chiefs camps.

The 13-year-old boy was swept away by the raging waters of River Migori. The search for his body entered the third day Wednesday.

And in Siaya County, an MP was among flood victims counting losses after floods swept away his fish ponds worth Sh3 million.

Bondo MP Gideon Ochanda and other residents had their acres of farmland and grazing fields in Usigu division submerged. In East Gem ward, the Ramula-Bar-Kalare Road was rendered impassable after a bridge was swept away on Sunday.

In western region, waterlogged sugar cane fields and damaged feeder roads disrupted milling as factories grappled with shortage of raw material in their catchments.

Sugar millers are unable to access farms in lowlands to ferry cane for crushing due to damaged roads.

The affected factories include Busia Sugar Company, West Kenya Sugar Company, Nzoia Sugar Company and Butali Sugar Mills.

Nzoia Sugar Company is closed for routine maintenance but the miller is planning to resume crushing two weeks after the repairs, according to MD Wanjala Makokha.

In Busia County, residents of Budalang’i blamed the government for the flooding that has hit the region.

Rehabilitation of dykes along River Nzoia stalled last month due to heavy rains, although some areas could not be worked on due to a compensation row between the National Land Commission (NLC) and residents who surrendered their land to the government.

Busia director for meteorological services Benjamin Bahati said the Red Level severe flood warning applies to Climate Zone 1, specifically Budalang’i floodplain.

In Naivasha, residents of Kinangop farm in Eburu raised concern over a dam that started leaking.

The 20ft deep Jaika dam started leaking on Monday night, forcing some residents to flee the area.

Unicef said in a statement that it had distributed supplies in affected counties.

Source: The Nation
 
Du poleni mabeberu weusi.Mungu ni mwema yataisha.poleni wafiwa wote pia
 
Back
Top Bottom